Mbunge Mnyika ana kazi kubwa sana huko Ubungo. Barabara, maji na usalama ni utata mtupu jimbo la Ubungo.
Hata mbagara maji shida je anaongoza Mnyika?nani kasema dar yote maji taabu kimara imezidi,sinza na knyama sio kivile achana na huko uzunguni ambapo hayakatiki kabisa
maji maji ndio ishu kosa lake alimuita kikwete daifu so kikwete kaamua kumuonyesha yaani huku watu tunavunda ndoo 1000,
..ulitaka Mnyika alete maji kwa pesa ipi?,au ajenge barabara kwa fungu lipi?, au aweke polisi kwa ajili ya ulinzi. Ni vyema kufahamu majukumu ya Mbunge, Mnyika ametekeleza majukumu yake kwa ufasaha kabisa. Jitokeze tar 14.,mimi nafanya mazoezi ya kuwatwanga CCM tar 14.Mbunge Mnyika ana kazi kubwa sana huko Ubungo. Barabara, maji na usalama ni utata mtupu jimbo la Ubungo.
maji maji ndio ishu kosa lake alimuita kikwete daifu so kikwete kaamua kumuonyesha yaani huku watu tunavunda ndoo 1000,
majukumu ya mbunge ni yapi,kutunga sheria au kukariri kanuni na kuomba miongozo,au kupitisha bajeti ambazo hazifaidishi jimbo lako,kuna kituo cha polisi pale golani shortcut ya chuo kutokea baruti kimekamilika tangu mwaka jana hakina polisi kwenda kwa RPC kumuomba polisi nayo ni kazi watu wanakabwa giza likiingia tu..ulitaka Mnyika alete maji kwa pesa ipi?,au ajenge barabara kwa fungu lipi?, au aweke polisi kwa ajili ya ulinzi. Ni vyema kufahamu majukumu ya Mbunge, Mnyika ametekeleza majukumu yake kwa ufasaha kabisa. Jitokeze tar 14.,mimi nafanya mazoezi ya kuwatwanga CCM tar 14.
Hata kama kuna matatizo gani ubungo lakini bado sijaona akili ya kureplace nafasi ya Mnyika pale ubungo, kama Mnyika wakikunyima ubunge mwakani usisumbuke, kaa kimya then baada ya miaka 2 tu wanaubungo wenyewe watakuja kukulia. Kwa hapo alipofika Mnyika anaweza kuja kugombea jimbo lingine lolote nchini na akashinda vizuri tu.
maji maji ndio ishu kosa lake alimuita kikwete daifu so kikwete kaamua kumuonyesha yaani huku watu tunavunda ndoo 1000,
Mkutano wa chadema ubungo msewe sasa hivi,yupo mnyika na Tundu Lissu na Mabere Marando watu wametoroka makazini kwao na biashara zimesimama msewe nzima, ila Mnyika kazi anayo kwani maji hayajatoka wiki ya pili sasa