ryana fan
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 2,632
- 3,051
Habari ndugu zangu. Baada ya salamu niende moja kwa moja kwenye mada yangu.
Kama tunavyojua kuwa leo na kesho chama cha Mapinduzi CCM inapitisha Mgombea wao kupitia mkutano mkuu wa chama. Na mkutano huo wanafanyia ukumbini kwao.
Vipi mkutano mkuu wa CHADEMA kitafanyikia wapi? Hotelini au mlimani city au watakodisha ukumbi wa CCM Dodoma au watafanyia Ufipa pale makao makuu ya chama?
Naomba mwenye kujua anisaidie manake hiki ni chama kikuu chenye malengo ya kuchukua dola.
Nawasilisha