mkutano wa chadema kata ya elerai

anasema baada ya ufisadi wa ccm wa muda mrefu sasa tuwape chadema na kama watazingua tunawapiga chini
 
Huyu Milya ni zaidi ya Lawyer, anawachambua magamba mpaka aibu. Anasema inasikitisha kuona watoto wanaotoka katika familia maskini wanafanyishwa mtihani moja na watoto wa vigogo wanaosoma shule za international, wakijua kuwa watoto wa maskini wataendelea kuwa maskini. Anasema hawa magamba tuwapuuze kwa kuichagua chadema ili tuweze kuwakomboa wafanzania maskini wanaoonewa na serikali hii ya ccm.
Tunajua kuwa hatuna pesa lakini tunaye mungu tusiogope.
Tuikomboe nchii kwa kuchagua chadema
 
usiongope zinakuja

Sasa yeye anataka mtoto wa kikwete aje shule za kata? Hatuwezi kulingana uwezo, cha muhimu ajikite kutueleza chadema kitatutatulia vipi haya matatizo. Elimu inatolewa kulingana na mfuko wako Pookie pale duniani hivo asiwadanganye wananchi.
 

Attachments

  • Photo-0002.jpg
    Photo-0002.jpg
    6.1 KB · Views: 441
Sasa yeye anataka mtoto wa kikwete aje shule za kata? Hatuwezi kulingana uwezo, cha muhimu ajikite kutueleza chadema kitatutatulia vipi haya matatizo. Elimu inatolewa kulingana na mfuko wako Pookie pale duniani hivo asiwadanganye wananchi.

usiniletee mambo ya tahira, tuliambiwa hakuna mtoto atakaerudisha kwa kukosa ada, je jiulize hawarudishwi
 
Lema:
Taarifa za muda huu kutoka kwenye Mkuano wa ccm matejo wamehudhuria watu sita tu na umeshindikana kuendelea.
Ndg zangu mimi naiheshimu sana kata ya Elerai, kwasababu ilikuwa kata pili kwakunipa kura nyingi 2010.
Ndg zangu kuna vyama viwili vidogo hapa Arusha, ambavyo ni ccm na cuf. Hivyo vyama ni wanandoa, ila sisemi nani mke na nani mume.
Hivyo vyama vimesimamisha wagombea. Chadema wamesimamisha diwani, ndiyo maana kila wakipita mahali badala ya kutangaza sera wimbo wao ni lema lema lema lema.
Hakuna wanachokizungumza
 
Nilimkuta mke wangu anasoma kitabu, nikaichukua nikakutana na mstari moja unasema, ukiona unatukanwa usijibu, kwasababu lengo la aliyekutukana wewe ni kumjibu, sasa usipomjibu huwa anajisikia vibaya sana. Hivyo sina muda wa kuwajibu matusi yao nimeamua kuwapuuza.
Ndiyo maana akisimama Mnyika bungeni ni sawa na wabunge sitini wa ccm, akisimama Lissu mawaziri wote wanatetemeka, akisimama Lema wabunge wote wa ccm wanatamani kutoka nje ya bunge. Chadema tunacheza mpira wa kistaarabu.

Mwigulu kule igunga tulimfumania lakini hatutali kutumia karata hiyo kama kigezo cha kushinda.
Ccm wamebakiwa na karara moja ya kuwagawa watu kwa ukabila. Katika barabara mbovu arusha elerai inaongoza, tukamchagua bayo lakini akaingia kwenye mifuko ya wala rushwa tukamfukuza.
Cha kushangaza nguvu ya fedha ya ccm arusha inatoka kwa Lowassa, jana walikuwa wanavhangishana club afriko, sasa kama wanatimia ukabila kuwagawa watu mbona Lowassa ni mmeru na ni mbunge wa wamasai na amemwoa mrangi?
 
Nataman na mim ningepiga kura ila ubov wa viongoz we2 wa kuandikisha mara moja kwa miaka mitano ndo shida.cjui mbowe nae alipotelea wapi baada ya kuuliza swali kwa wazir mkuu.kanyamaza mpaka leo hi.cjui nan atatutetea tena kama ndo ivo.kila jambo na wakati labla 2tasikia wakati mbunge akifa au akijiuzulu.
 
Kwa mara nyingine vijana wenyemiaka 2o hadi 18 wanakosa fursa ya kupiga kura.wakulaumu c serekali 2 bali pia viongoz we2.
 
lema anasema ccm wanafanya kampeni za udini na ukabila...wanasahau kuwa mpiga ameoa mmasai..
 
kuna mabalozi wa nyumba kumi wanavua gamba nitawajulisha zoezi likianza tasmi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom