Mkutano wa Chadema DMV sasa kufanyika Jumamamosi 26 Mei 2012 saa 5pm

igwana123

Senior Member
Nov 8, 2010
175
25
Ule mkutano maalum sasa utakuwepo Jumamosi Mei 26, 2012 badala ya Jumapili kama ilivyopangwa hapo awali.
sehemu ni ile ile pale Miraji Hall.
Wote karibuni
 
Tukuite Gamba unataka kutuchanganya au? kila mtanzania anajua jumamosi tarehe 26/05/2012
kuna mkutano mkubwa wa CDM jangwani,wewe unatuletea habari zako za DMV.mkuu acha
kuchanganya watu PLEASEEEEEEE!!!!!!
 
Magamba wanahofia jinsi watu watakavyojaa! Wanaanza kuwadanganya watu ili wajichanganye! Mtachemka wenyewe. Watu hawatasombwa watakuja wenyewe!
 
wewe gamba mambo ya cdm yanakuhusu nn??

nani kakwambia ritz1 ni gamba!!!!!!!!! Yeye husimama kusema ukweli na kutoa changamoto ili uongozi chadema uamke na kupanga mikakati ya kuimarisha chama. Kuna namna nyingi za kutetea unachoamini
 
Ule mkutano maalum sasa utakuwepo Jumamosi Mei 26, 2012 badala ya Jumapili kama ilivyopangwa hapo awali.
sehemu ni ile ile pale Miraji Hall.
Wote karibuni
Me naona ungejitambulisha kuwa wewe ni nani na nafasi yako kichama unless otherwise watu watakususpect kivingine.
 
Then is not fair kuwadanganya great thinkers usiwe na akili ya udumavu kama ulivyojidhihirisha.
 
Back
Top Bottom