ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,013
- 7,209
Tanzania Daima ni gazeti la UDAKU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mzushi tu hunachochote mwaleta ukabila tu.
Tanzania Daima ni gazeti la UDAKU
Tatizo la Zitto anashindana na Watoto wa Mjini.Wenzake wamekujilia Mjini wakati yeye kafika kwa Treni akiwa na Mfuko wa Rambo kutokea Kigoma.Hata Sugu tu anamzidi Ujanja.
udaku au manene ya kanga.....................tutakuvisha kanga shoga wewe f.a.la
Zitto VS Mbowe,Slaa,Mnyika,Sugu,Lema,Msigwa,Lissu,Wenje,Mtei n.k Halafu unasema Sugu kamzidi ujanja?!! Lakin wajanja wako bado wamepagawa mara wanatangaza kufunga mjadala mara wanaufungua kinyemela.Wameshamaliza Substitution yote Mwenzao hata Sub moja hajafanya bado.
Sure 100 percent!!This is interesting.Lema kawapa ukweli.
Tanzania Daima ni gazeti la UDAKU
"Kiongozi Mkuu yuko too local" - waraka
mzee wa kugawa Tigo ukweli unakuuma?Anzisha lakwako
Maamuzi ya kamati kuu ya tarehe 20-21 /11/2013 ya kuwavua uongozi Mh: Zitto Zuberi Kabwe, Dr. Kitila Mkumbo na Ndg Samson Mwigamba, kumeonyesha dhahiri si woga tu wa Demokrasia bali ni unafki na Uzandiki wa hali ya juu sana kwa viongozi wetu kuikwepa Demokrasia kwa kisingizio cha kusaliti na uhaini ndani ya chama. Katiba yetu imeweka wazi Ibara ya 6 Kifungu cha 3 kipengele cha 6. (a – f) Mamlaka za nidhamu na uwajibishaji ndani ya chama. Kulikuwa na haraka gani ya kufanya maamuzi bila kufuata taratibu hizi kwa viongozi hawa, tuonavyo sisi baadhi ya wanachama huo ni umangi meza na udhalilishaji wa kibaguzi ndani ya chama kwa viongozi wetu waliotumia nguvu zao na akili nyingi sana kukijenga chama.
Source: Tamko la chadema Mwanza