Mkutano wa CHADEMA Arusha - Nov 29, 2013

Golugwa;
chama kipo imara na mpaka sasa wasaliti 4 wameshashughulikiwa bado 45 maana walikuwa 50 sasa habakizwi msaliti hata kama kuna watakaoamua kuwafuata maana hata shetani alifuatwa na mapepo machache hilo haliwezi kututisha hata kidogo tunasonga mbele maana tunatumikia shauri la Mungu na daima Mungu huwa anashinda!
 
Kama siyo wewe ndo 0713 jaribu kufikira Kodi tunayolipa, madini, utalii hii hela inaenda wapi mpaka leo wanataka tuchangie huduma za jamii kama shule. na utajiri walionao viongozi wa kisiasa hasa wa CCM na Zito umepatikana wapi? Hapo ndo unaweza kufikiria kuchangia shule baada ya kupata majawabu.

Kwa jamii ambazo watu ulipa kodi kama sisi huduma za jamii ni kazi ya serikali kuzibooresha siyo kutumia migongo ya wananchi kujitafutia sifa.

Kama CHADEMA kuzuia wananchi kuchangia shule ingekuwa ni kosa basi waliowakataza wangepelekwa mahakamani siyo humu jamii forums ila wao wanaochangisha wanajua kuwa wanafanya kinyume na sera za nchi. Hivyo watawala wanajua kabisa kuendelea kuwepo kwa chadema ni mwiba kwao ndoo maana jitihada nyingi za kuiangusha. ila haitaanguka.
Watu kila siku wanachangia harusi halafu anakuja mwanasiasa anawakataza kuchagia elimu!

Hivi elimu na harusi kipi muhimu?

Chadema sifuri kabisa...
 
Nasema hivi wanaotoa coment hapa kupinga harakati za cdm ndowanaorudisha nchihi nyuma,.nchi hi bilachama chenyenguvu cha upinzani, bas ccm watatembea badalayakukimbia,.chadema hoyeeee
 
Lema:
Leo nazungumza mambo mawili, umeme. na wasaliti..waliovuliwa uongozi, wanasifa ya kuvuliwa uanachama. Zito aliandika barua kwa tume kuwa mgombea wa cdm atambuliwe na uanachama, akampa pesa mgombe wetu kwa nimrod na ushahidi tunao akamwamrisha katibu kumkatia rufaa mgombea kwa dewji
Anasema chadema haiwezi kumwogopa zitto na ili ujue kuna maajabu magazeti yote ya ccm yanaihurumia chadema mpaka mwigulu nchemba, serukamba wanataka tupatane kweli ccm wanamapenzi na chadema..denis msaki na ameanza kuliharibu gazeti na mhando asikie..
Tulipofukuza madiwani walisema tumekwisha leo tuna meya kutoka chadema..
Chadema imeumndiwa mkakati kuliko unavyo weza kuzania..
 
Lema;
Hatuwezi kuvumilia upuuzi wa Zitto, chadema ni mpango wa Mungu haitakufa kwa propaganda za ccm

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Lema;
Mpango wa Mungu haujawahi kushindwa..lengo la chadema siyo tu kuchukua madaraka ni mabadiliko kama leo tukishindwa kuwajibishana, vipi tukichukua nchi....

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Lema;
Chadema ni maarufu kuliko kiongozi yoyote..kama kuna kiongozi ni marufu basi atumie umarufu kujenga chama..

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Watu kila siku wanachangia harusi halafu anakuja mwanasiasa anawakataza kuchagia elimu!

Hivi elimu na harusi kipi muhimu?

Chadema sifuri kabisa...

Hatuwezi kuendelea kuchangia elimu huku kodi zetu zikiliwa na mafisadi wachache wa ccm.huo ni upuuz na wewe unayeshabikia upuuz ni mpu.....???
 
Kama siyo wewe ndo 0713 jaribu kufikira Kodi tunayolipa, madini, utalii hii hela inaenda wapi mpaka leo wanataka tuchangie huduma za jamii kama shule. na utajiri walionao viongozi wa kisiasa hasa wa CCM na Zito umepatikana wapi? Hapo ndo unaweza kufikiria kuchangia shule baada ya kupata majawabu.

Kwa jamii ambazo watu ulipa kodi kama sisi huduma za jamii ni kazi ya serikali kuzibooresha siyo kutumia migongo ya wananchi kujitafutia sifa.

Kama CHADEMA kuzuia wananchi kuchangia shule ingekuwa ni kosa basi waliowakataza wangepelekwa mahakamani siyo humu jamii forums ila wao wanaochangisha wanajua kuwa wanafanya kinyume na sera za nchi. Hivyo watawala wanajua kabisa kuendelea kuwepo kwa chadema ni mwiba kwao ndoo maana jitihada nyingi za kuiangusha. ila haitaanguka.[/QUOTE

Kwa hiyo kuiba aibe mchaga aka chadema, akiiba mkurya tabu?
Yaani pesa za wananchi ninyi mwafidia zile mlizojikopesha na mkakataa kuhojiwa na kuanzisha malumbano ila wananchi kuchangia japo 2000 kwa mwaka inakuwa shida?
Au ndo mambo ya Afande sele alipovua nguo akiwa bado hajaingia chama cha Mtei alifaa kuitwa muhuni naww ukakubali lakini leo kaingia Mtei Club kaonekana mwema...!

Shame on you guys......
Mnssssssssac
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom