YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 51,992
Sheria inataka chama chochote kinapobadilisha uongozi wa juu kifanye mkutano mkuu.Na kikishabadilisha kipeleke jina la huyo mpya.Mkutano mkuu wa CCM dodoma sio wa kisiasa ni wa kutimiza matakwa ya kisheria yanavyotaka kuhusu kubadilisha uongozi sio sawa na ile mikutano ambayo mtu akilala akiamka anasema tukutane pale mwembeni kuna mahafali ya Wana UKAWA