Mkutano wa CCM kurushwa live ktk Clouds TV na TBC1

Hivi dhumuni la mkutano ni nini haswa? Unaposema unazungumzia mustakabali wa nchi na hali ya uchumi kwani ni chama gani kianchoongoza serekali? Nafikiri wenye nafuu ya maisha ambao kwao sukari ni 700.00,unga 600.00,mafuta ya taa 1000.00 ndio wanastahili kwenda ili kutuonyesha hayo mafanikio yalioletwa na nyinyiem !
 
chadema WHAT? Since when mboowe amekuwa na mamlaka ya kuyapa maeneo majina?

mkubwa!habari ndio hiyo pale ni CHADEMA SQUARE,utake usitake na umma ndio uliamua wala sio mbowe,yeye alitoa wazo tu umma tukapitisha kama unavyojua umma ukiamua,ni maamuzi ya mungu
 
Habari ndio hiyo Watanzania wote wataona live kutoka jagwani

Mkutano wa ccm jagwani utaoneshwa moja kwa moja kutuka TBC na clouds TV

Bado Mzungumzo:A S 100: na vyombo vingine vya habari yanaendelea nitazidi kuwapa update kadri mambo yatakavyukuwa.

Kesho ni kesho

Nawasilisha

hizo TV pia ziwaonyeshe jinsi wajumbe wa NYINYIEM wanavyopata shida kuwabembeleza watu kuja na kupanda malori, coz huku kwetu wengine wanawazomea pindi wanapopita kusisitiza.
 
Wakati wao wanafanya mkutano wao hapo kesho sisi Chadema tuko mikoani tunawavua watu magamba halafu tunawavalisha magwanda! Habari ndio hiyo.
 
siasa vyuoni marufuku kwa cdm, ccm luksa. Hii inchi????!!

mkubwa!ngoja wawabebe waende alafu siku tatu tutawasikia maandamano ya mkopo sasa sijui kama watawakodia usafiri kwenda kwenye maandamano ya kudai haki
 
Osh!!! "...VUA GAMBA, VUA GWANDA, VAA UZALENDO...!"

Hawa jamaa wananiudhi sana; Yaani natamani kuwapeleka ICC.

Kwa nini wanapenda COPY and PASTE????

Hawana Kauli mbiu mpya ya kuanzisha hadi kia kitu kuiga toka Upinzani.

Ama kweli wameishiwa.



MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Nasubiri kwa hamu kubwa CCM watoe majibu ya maswali ya wimbo wa msanii baba kundambanda.....EPA, Richmond, Deep Green, meremeta, twiga wa KIA, mauaji ya Nyamongo, mgao wa umeme...................ukosefu wa dawa mahospitalini, hujuma za watumishi wa umma, rushwa za wabunge wao(Bahi), matusi ya makada wao(Lusinde), pembejeo feki, ahadi hewa(maisha bora kwa kila mtanzania), mfumko wa bei, mishahara duni, wizi ulio kithiri maofisini, wimbi la udini.............
 
Tangazo la usafiri hili hapa
5dba1675-a39a-db8a.jpg


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Usafiri huu hapa umejaa tele na bwelele kabisa.

CCm2010.jpg
 
Hivi dhumuni la mkutano ni nini haswa? Unaposema unazungumzia mustakabali wa nchi na hali ya uchumi kwani ni chama gani kianchoongoza serekali? Nafikiri wenye nafuu ya maisha ambao kwao sukari ni 700.00,unga 600.00,mafuta ya taa 1000.00 ndio wanastahili kwenda ili kutuonyesha hayo mafanikio yalioletwa na nyinyiem !

Madhumuni yake ni kwenda kujadili wapi pa kufanya maziko na kuweka matanga.

Azimio la Arusha lilizaliwa Arusha lakini kaburi lake lipo ZNZ.

Na CCM ilizaliwa DSM na Kaburi lake litakuwa pale CHADEMA SQUARE (zamani paliitwa Viwanja vya Jangwani)

Na patakuwa na alama hii

profilepic 2012.JPG


MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Si ndo channels za SISIMWEWE? Wataangalia wasokuwa na kazi, kwani kuna jipya ambalo wanaweza kutueleza ambacho hawajawahi kutueleza?
 
Nadhani kesho usafiri utakua wa shida sana maana pikipiki, daladala, coaster, malori yote GAMBAZ washayakodisha kulingana na tangazo la kuwepo kwa usafiri nililoliona, ccm wagundue kwamba kwa vyovyote vile hawawez kushindana na CDM'
 
Kila siku nasema kwa nini wananchi tusiwazukie TBC1 au kumpopotoa manyanya mkurugenzi wa TBC1 kwa kutunyima habari za chama chetu pendwa Chadema,manake sasa hivi habari za Nape kila siku zinaonyweshwa lakini sio za M4C huko kusini

halafu kama chombo cha taifa mbona hawakuwepo siku ya uzinduzi wa M4C pale chadema Square
halafu CCM inadhihilisha kuwa inakokotwa na Chadema katika kila nyanja wakisema fukuza mawaziri wanafukuzwa,badili baraza la mawaziri wanabadili bado watakavurumishwa toka Ikulu ndipo utakuwa mwisho wao ki ujumla hawana mkakati huwezi kurudi jangwani kwenda kujibu hoja wakati wewe ndio mtawala
nitakuwa pembeni mwa TV nisikilize ujinga wao
 
kesho mataifa ulaya saa 10 jioni ni england na ufaransa,msipoteze hela zenu magamba watu watakuwa bize na europa cup

Kweli kabisa mkuu, tena kesho ni zile mechi za kundi la kifo NETHERLANDS vs DENMARK and GERMANY vs PORTUGAL
Magamba wanaweza kuaibika kwa kupata umati unaoweza kuhesabika kwa vidole,ukiwaondoa wao na wale watakaowavika outfit za njano na kuwaleta kwa malori huku wakiwapatia buku mbili mbili
 
Madhumuni yake ni kwenda kujadili wapi pa kufanya maziko na kuweka matanga.

Azimio la Arusha lilizaliwa Arusha lakini kaburi lake lipo ZNZ.

Na CCM ilizaliwa DSM na Kaburi lake litakuwa pale CHADEMA SQUARE (zamani paliitwa Viwanja vya Jangwani)

Na patakuwa na alama hii

View attachment 55802


MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
attachment.php

Asante Nabii Mtarajiwa
 
Habari ndio hiyo Watanzania wote wataona live kutoka jagwani

Mkutano wa ccm jagwani utaoneshwa moja kwa moja kutuka TBC na clouds TV

Bado Mzungumzo:A S 100: na vyombo vingine vya habari yanaendelea nitazidi kuwapa update kadri mambo yatakavyukuwa.

Kesho ni kesho

Nawasilisha

Mtawapikia na pilau wahudhuriaji?kama haitakuwepo watu hawatakuja.
 
Mawazo mgando haya,maskini Nepi hata ukiwaita mara vinyago mara oil chafu ila hapo umechelewa watu tunataka mtuambie kuhusu treni za umeme na sio visima vya maji miaka hii....M4C itawabamba sana.
 
Back
Top Bottom