Mkutano wa CCM Arusha Kesho

Oct 26, 2013
14
2
Wakuu Jf,

Tokea Jana mapema Gari la matangazo limekuwa likipita maeneo mbalimbali mini Arusha Kuwait Luna Mkutano utakao fanyika maeneo ya Kilombero karibu na Hospitality ya Levolosi.

Msisitizo wa kufika ni mkubwa kutokana na Ajenda walizokuwa wakisema kwamba watazungumzia.
 
Hivi kuna mwana ccm Arusha! Au wanawaleta Monduli na Arumeru kuja kufanyia mkutano Kilombero!

Lets see! Nitajitahidi kufika niwaleteeni picha!
 
Chama cha mapinduzi kimeandaa mkutano mkubwa wa wananchi katika uwanja wa kilombero jijini hapa.inasemekana kua viongozi mbalimbali watakuwepo akiwemo mwenyekiti wa vijana mkoa mh ROBISON LABAN pamoja na m/kiti wilaya
Source ccm Arusha
 
CCM wanasema wachagga na wakristo chama chao ni chadema sasa huko Arusha wanafuata nini.
ni kuwafurusha mawe tu hao
 
Mfa maji haachi kutapatapa.Labda mkawachukue wanafunzi na walimu wao waje kuwasikiliza.
Chama cha mapinduzi kimeandaa mkutano mkubwa wa wananchi katika uwanja wa kilombero jijini hapa.inasemekana kua viongozi mbalimbali watakuwepo akiwemo mwenyekiti wa vijana mkoa mh ROBISON LABAN pamoja na m/kiti wilaya
Source ccm Arusha
 
Vijana wa ccm Arusha wamekirudisha tena chama mkutano wa soko kuuu ulikuwa mzuri sana nadhani na kesho utaongezeka zaidi
 
Mkutano wao wa soko kuuu ulikuwa mzuri sana vijana wameifufua ccm Arusha tena

Mtatia timu hata mie
 
Mtaswali mapema baada ya hapo nikasikilize sera tumechoka matusi ya akina lema na Chadema yao kila siku

Mara yamwisho kwenda mkutano wa hadhara ni sikuile slaa alisema nchi haitatawalika tena pale NMC nakufa wa watatu tangusiku hiyo niligoma kutolewa kafara na wachaga
 
Chama kimeshachakaa kitambo! inabidi waandae malori ya kutosha pamoja na posho kwa ajili ya kuvuta watu! wasisahau kupika wali ili wananchi watakaokuwa wametolewa mbali waweze kula.
 
Mtaswali mapema baada ya hapo nikasikilize sera tumechoka matusi ya akina lema na Chadema yao kila siku

Mara yamwisho kwenda mkutano wa hadhara ni sikuile slaa alisema nchi haitatawalika tena pale NMC nakufa wa watatu tangusiku hiyo niligoma kutolewa kafara na wachaga

acha unafiki ww,,, ccm hakuna arusha sana 2 labda mtaenda kubeba watu toka monduli na babati ili muweze kupoteza mdaa kidogo na kuongea pumba kama enzi zile nguvu mpya, kasi mpya na ari mpya ccm oyeeeeeeeee
 
wazee wa pembe za ndovu wanakuja arusha chonde chonde, muwe waangalifu na tembo wasipate kibali cha kutembelea mbuga zetu
 
acha unafiki ww,,, ccm hakuna arusha sana 2 labda mtaenda kubeba watu toka monduli na babati ili muweze kupoteza mdaa kidogo na kuongea pumba kama enzi zile nguvu mpya, kasi mpya na ari mpya ccm oyeeeeeeeee

Kama monduli kwa baba yako slaa unasema kuna ccm sembuse arusha
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom