Basi ngoja tuishauri Freeman Aikaeli Mbowe, ayasogeze mbele maandamano na mikutano ya UKUTA nchi nzima iwe kuanzia September 5.Mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa uliokuwa ufanyike Agosti 29-30 kujadili hali ya kisiasa nchini umesogezwa mbele hadi Septemba 3-4 ili kutoa fursa kwa wazee mashuhuri kuhudhuria.
Wazee wanaosubiriwa ni Mzee John Cheyo na Agustine Lyatonga Mrema.Wazee mashuhuri unamaanisha nini?
Hahahaha
Jaji mutungi anacheza ngoma ya jeshi la polisi na ccm
Hakika hii nchi bado hatuko huru hata kidogo
Wazee wanaosubiriwa ni Mzee John Cheyo na Agustine Lyatonga Mrema.
Pasco
Huo ni ushauri mzuri maana UKUTA unategemea matokeo ya huo mkutanoBasi ngoja tuishauri Freeman Aikaeli Mbowe, ayasogeze mbele maandamano na mikutano ya UKUTA nchi nzima iwe kuanzia September 5.
Pasco
Hao nao ni mashuhuri?Wazee wanaosubiriwa ni Mzee John Cheyo na Agustine Lyatonga Mrema.
Pasco
Tutaandamana kwanza,then tar 3 tutaongea
Basi ngoja tuishauri Freeman Aikaeli Mbowe, ayasogeze mbele maandamano na mikutano ya UKUTA nchi nzima iwe kuanzia September 5.
Pasco