Mkutano wa Babu Juma Duni, Ruaha Kilombero - Oktoba 04, 2015

Mwinjilist mtume nabii

JF-Expert Member
Feb 21, 2015
2,437
1,097
Bado shamra shamra zinaendelea hapa Ruaha Kilombero, na leo katika viwanja vya benki ya NMB, mgombea mwenza wa urais kupitia ukawa Juma Duni atakuwepo hapa kumwaga sera. Watu wapo hapa sasa wanacheza musiki kwenda mbele.

Nitawapa updates
 
Mcjali Nitawatupia Picha, Mkutano Unafanyika Mita Kumi Tu Kutoka Kituo Cha Polisi, Na Mita Kumi Tu Kutoka Benki Ya NMB, Na Mita Kumi Na Tano Tu Kutoka Benki Ya CRDB. Kwa Iyo Ni Full Ulinzi
 
Eti wasanii watakuwa wapi?nimechoka kukaa hapa nyumbani angalao nikaburudike kidogo.siku hizi burudani bureeeee.huhitaji kiingilio.ole uchaguzi uishe tutapata burudani za bure wapi?CCM inatuburudisha kweli diamond eti....nitakuwepo.
 
Mcjali Nitawatupia Picha, Mkutano Unafanyika Mita Kumi Tu Kutoka Kituo Cha Polisi, Na Mita Kumi Tu Kutoka Benki Ya NMB, Na Mita Kumi Na Tano Tu Kutoka Benki Ya CRDB. Kwa Iyo Ni Full Ulinzi

Ubarikiwe sana mkuu kwa uzalendo huu wa kutupa updates za mabadiliko ya kimaendeeo . " A luta Continua "
 
Wana JF kuna mjumbe mmoja ameuliza leo wasanii watakuwa wapi maana kukaa home ameboreka. Msaidieni tafadhali
 
Karibu sana babu dudi kidodi, na ruaha kwa ujumla. Usisahau kuzungumzia bei ya sukari kwa watu tunaozunguka kiwanda maana kubwa sana.
 
Sasa Hivi Wanashangilia Hapa Viwanjani Baada Ya Mshereheshaji Kutangaza Kuwa Mzee Kingunge Anaimwaga Wazi CCM Kupitia Itv Muda Huu.
 
Tume utamuuu maana ukawa haina mfano

Ingawa Babu Duni Hakuweza Kufika Kwa Sbb Za Kiofisi, Kakini Alikuwa Katibu Mkuu Wa Bavicha Taifa Bwana Simbei, Ametosha Kabsa.
Watu Wamejaaa Hapa Na Mapolisi Wamesambaa Kila Kosa Maana Mkutano Unafanyika Mita Kumi Tu Kutoka Benki Za NMB Na CRDB, Lkn Hakuna Fujo Kabsa Na Watu Wanafurahia Mabadiliko
 
Ndio mana nilikwambia saa 11 urushe picha za babu duni.nilijua hatotokea.kwa taarifa yako duni kasusa
 
Back
Top Bottom