babatovu
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 2,739
- 1,600
Wasaalam wanaJF,
Leo saa kumi kamili jioni kile chama mwana ACT-Wazalendo kitakuwa na mkutano wa kuweka msimamo wa kuthibisha wagombea wao wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar.
===============
Update:

Chama cha Upinzani cha ACT-Wazalendo kupitia Prof. Kitila Mkumbo kimemtangaza Mwenyekiti wake Mama Anna Elisha Mghwira kuwa mgombea wa nafasi ya Urais kwa tiketi ya chama hicho katika mkutano mkuu unaoendelea jioni hii, huku mgombea mwenza akiwa ni Hamad Mussa Yusuph, mzawa wa Visiwani Zanzibar.
ACT-Wazalendo kinakuwa ni chama cha kwanza nchini Tanzania kusimamisha mgombea urais mwanamke katika historia ya siasa.