Kila nchi hujivunia kuona rais wake ana connect na mataifa na viongozi mbali mbali wa dunia. Hii husaidia katika nyanja mbali mbali na hata pia kiuchumi.
Tangu rais wetu aingie madarakani hajaenda mikutano yeyote ya kimataifa kwa sababu zilizokuwa wazi kubana matumizi.
Sasa mkutano wa 28 wa wakuu wa nchi wa Umoja wa Jumuia ya Afrika AU unaanza Jumatatu tarehe 30-31Januari wiki ijayo huko Addiss Ababa Ethiopia.
Sasa sijui kama rais wetu safari hii ataweza kwenda ili pia kukutana na viongozi wezake wa bara la Afrika ama hata hii haendi?
Kama rais wetu, ni vizuri akutane na viongozi wengine awafahamu nao wamfahamu maana katika misingi hiyo ndo AU ikaanzishwa!