So Mr. Paul Makonda umempongeza Mheshimiwa tena mbele ya Media then what is your Point??
Hivi haya matope nani atayaweka kama kumbukumbu?
Huyu c ndo yule mwizi wa iPad kwanza amasharudisha mali za watu siku hizi namuona karibu sana na maria sarungi'dada tunza cimu yako na wewe unapenda kuiweka jujuju shauri yako itapitiwa umekaa na mwewe. Chezea chama cha majizi
Tafadhari sana tena sana,mimi nikijana ila siwakilishwi na mtu anayeitwa Paul Makonda,labda ungesema unawawakilisha akina Juliana Shonza na Mtela Mwampamba e.t.c Dogo njaa yako ya kutafuta umaarufu na vijicheo serikalini ipo siku itakutokea puani.Tangu ulivyomtukana Lowasa kwenye media ukasifiwa na wajinga wenzio sasa naona sifa zimekupanda kichwani na kuzidi kuropoka ukidhani vijana wote hatuna akili kama zako.Tangu lini CCM imeanza kutafuta katiba ya kumuokoa mtanzania?Mngekuwa na nia njema na katiba mngemtukana Warioba tangu asubuhi hadi jioni kila siku wakati amefanya kazi nzuri kwa taifa hili?MKITENGENEZA RASIMU YENU TOFAUTI NA YA WARIOBA MTAKIONA CHA MTEMA KUNI NDANI YA NCHI HII,NIMEONA HATUTAHESHIMIANA NCHI HII BILA KUINGIA VITANI.Rest in peace mwl NYERERE uliowaacha wanajali matumbo yao tu!
Msisahau kuwa nafasi ya Naibu katibu mkuu bara ndani ya CCM haina mtu kwa sasa. Aliyekua ameteuliwa kushika nafasi hiyo amepewa wajibu mwingine na sasa ni Naibu waziri wizara ya fedha. Mkumbuke pia huyo aliyekuwa ameshikilia nafasi hiyo alipata cheo hicho kwa kuweza kuchambua na kupasua bajeti ya upinzani akijitangaza kuwa yeye ni mchumi daraja la kwanza. Mheshimiwa akasema tunataka watu wa namna hiyo wa kuweza kujibu hoja za wapinzani kwa hoja. Paul big up jitahidi mzee akuone atakupa cheo muda siyo mrefu kwani hupenda watu kama wewe.
Acha kumsingizia Paul Makonda hakuiba iPad hats kidogo habari za uhakika in kuwa aliiba simu ya aina ya Nokia smartphone tuu.Huyu c ndo yule mwizi wa iPad kwanza amasharudisha mali za watu siku hizi namuona karibu sana na maria sarungi'dada tunza cimu yako na wewe unapenda kuiweka jujuju shauri yako itapitiwa umekaa na mwewe. Chezea chama cha majizi