Mkutano Mkuu wa Taifa wa CCM 18 - 19 mwezi wa 12 mwaka 2017

Egnecious

JF-Expert Member
Jul 8, 2015
875
960
966208d71b876886d4612695e630506b.jpg
48f4663792851193c9912626e3d6a560.jpg
27c9631ba2dd79b184d929fccac328e4.jpg
e9e544739e7b7d977cb026c27b48f5e7.jpg
df430b22459376fa55fa5c8236a15033.jpg
540f9bba6bacc0c2bd2f96121deb0351.jpg
5f6c953c422b373c41a08fc7b45fa6bf.jpg
6fc6469717723dc39c87f26fa94561a5.jpg
7119f9d335cb739a682dc67382d61fca.jpg
01fd43f2d8a563a68ee717d1e1ba8906.jpg
 
Mkutano mkuu wa CCM unaotarajiwa kuanza huko Dodoma unategemewa kuwa ni mkutano wa matumaini makubwa kwa wanachama wa chama hicho. Katika chaguzi mbali mbali za taasisi za chama hicho viongozi waliochaguliwa UVCCM, UWT na Wazazi viongozi waliochaguliwa wameonesha wanauwezo mkubwa wa kuziongoza taasisi hizo muhimu. CCM chini ya Mwenyekiti John Magufuli imeonyesha chama hicho kongwe ndio tumaini kwa maendeleo ya watanzania wote. Ni wajibu kwa wanachama wa chama hichokumpigia kura kwa wingi Mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli ili aendelee kuleta mabadiliko ndani na nje ya chama hicho kikubwa hapa nchini .
Tunawatakia wanachama wa CCM kila la kheri kwenye mkutano huo muhimu.
 
Nasikia wameandaa vijana feki frm chadema ati watarudisha kadi zao mda huo.

Jaman polepole anafanya siasa za kipumbafu ajabu, kwenu makada wa fisiemu mjiandae kuwashangilia watu fake from chadema, sisi wa chadema ni haranu kuchangamana na mafisiemu popote..
 
Mkutano mkuu wa CCM unaotarajiwa kuanza huko Dodoma unategemewa kuwa ni mkutano wa matumaini makubwa kwa wanachama wa chama hicho. Katika chaguzi mbali mbali za taasisi za chama hicho viongozi waliochaguliwa UVCCM, UWT na Wazazi viongozi waliochaguliwa wameonesha wanauwezo mkubwa wa kuziongoza taasisi hizo muhimu. CCM chini ya Mwenyekiti John Magufuli imeonyesha chama hicho kongwe ndio tumaini kwa maendeleo ya watanzania wote. Ni wajibu kwa wanachama wa chama hichokumpigia kura kwa wingi Mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli ili aendelee kuleta mabadiliko ndani na nje ya chama hicho kikubwa hapa nchini .
Tunawatakia wanachama wa CCM kila la kheri kwenye mkutano huo muhimu.
Ah ah ati ccm ndo tumaini, tumaini kwa nanai?n labda kwako wewe, mkwe pia nyanya yako, hawa ccm wanaotoa majibu ya kebei ati km vyuma vimekaza tutie grisi? Lol.
Usijidanganye wewe mr zumbukuku
 
Back
Top Bottom