Mkutano mkuu wa mwaka kwa alumni wa malangali sekondari, tar 11/12/2011

Idimi

JF-Expert Member
Mar 18, 2007
14,963
10,457
Wapendwa wana Malangali na wote wenye mapenzi mema na shule kongwe ya Malangali iliyoanzishwa tarehe 16/4/1928, kwa niaba ya kamati tendaji ya muda ya Malangali Alumni Association, napenda kuwakaribisha wote waliowahi kusoma shule ya sekondari Malangali, kwenye mkutano mkuu wa mwka utakaofanyika tarehe 11/12/2011 katika ukumbi wa Chonya Inn, Ubung – Riverside kuanzia saa 8 mchana. Tafadhali mjulishe na mwenzako tangazo hili.
Karibu tujikumbushe yale ya shule yetu pendwa Malangali.
Unaombwa kuthibitisha ushiriki wako kwa
Katibu wa muda 0717 086135 au 0787 525396
Mwenyekiti 0784 272 411

Asanteni sana
NB: NIMECHOTA TANGAZO HILI KWENYE EMAIL
 
Back
Top Bottom