Uchaguzi 2020 Mkutano mkuu wa Jimbo la Vunjo wamempitisha Dkt. Augustino Mrema kugombea ubunge jimbo Hilo

Majasho

JF-Expert Member
Aug 4, 2009
413
220
Mkutano Mkuu wa jimbo la vunjo umempitisha Dkt. Augustino Lyatonga Mrema ambaye ni Mwenyekiti wa TLP taifa na mwenyekiti wa bodi ya parole taifa, uliofanyika Njia panda, Himo kugombea ubunge kwa tiketi ya TLP jimbo la Vunjo. Wajumbe wote kwa kauli moja walimpitisha Mhe. Mrema kugombea ubunge wa jimbo hilo na walimchangia kiasi fedha Za kwenda kuchukua fomu. Wanachama wa kata ya Kahe Masharikii wa chama cha NCCR Mageuzi walirudisha kadi, bendera na T-shirt na kujiunga na TLP na kuvishwa T-shirt Za TLP kwenye mkutano huo. Akihutubia Mkutano huo kwa niaba ya wenzake Modest Alfonso alisema Mhe. Mrema awasamehe kwa kukengeuka ila sasa wapo pamoja. Alisema walidanganyika na walikosea Kukubali kudanganya. Lakini sasa wanamuunga mkono Mhe. Mrema

Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Míchael Mrema alisema Mhe. Mrema amepokea simu nyingi za wana Vunjo arudi kugombea jimbo Hilo. Alisema Mrema anaheshimika Tanzania na uwezo wa kugonga ofisi yeyote serikalini na akasikilizwa. Wanaosema Mhe. Mrema amechoka wawaachie wana vunjo wafanye maamuzi hayo. “Umri si kigezo cha kutokuwa na akili, ukiwa na umri mkubwa unakuwa na busara Zaidi na kufanya maamuzi kwa uangalizi mkubwa. Barack Obama alikuwa Rais wa Marekani akiwa na umri wa miaka 47 na kustaafu akiwa na miaka 55.

Rais Donald trump alimfuata akawa Rais akiwa na miaka 70 kwenye taifa lenye watu zaidi ya million 300. Je, hawakuona vijana wa kuongoza taifa hilo. Chama cha Republican kimemteua Trump mwaka huu kugombea urais kwa mara ya pili akiwa na umri wa miaka 74 sawa na umri wa Mhe. Mrema, Mbona hawakutumia kigezo cha kwamba ameezeka na kutompitisha kugombea urais, wamempitisha kwa sababu wameona utendaji wake na kazi nzuri anayowafanyia wamarekani.
Mpinzani wake wa chama cha Democrat Joe Biden atakaye pambana na Trump anagombea urais akiwa na miaka 77 akishinda na akimaliza muhula wake wa kwanza atakuwa na miaka 81. Mbona huyo aitwi mzee na hafai.

Papa Francis ana umri wa miaka 83 leo hii anatuongoza wakatoliki billion moja duniani alichaguliwa kuwa papa miaka saba iliyopita akiwa na umri wa miaka 76 mbona makadinali waliomchagua hawakusema huyu ni mzee na hatufai.

Malkia Elizabeth wa Uingereza ana miaka 94 na ni mwakilishi wa nchi wanachama wa commonwealth nchi 54 ikiwemo Tanzania na hata kesho akiamua kuacha kuwa Malkia anamwachia mwanawe wa kwanza Prince Charles kuwa mfalme ambaye umri wa miaka 71. Je na yeye hafai?

Rais wetu Mhe. Dkt. John Magufuli alivyokuja Vunjo wakati wa kampeni 2015 alimnadi Mhe. Dkt. Augustino Mrema ambaye alikuwa anagombea ubunge kwa tiket ya TLP, aliwaambia wananchi kama hawamtaki mgombea ubunge wa CCM, Ndugu Innocent Shirima basi wamchague Mhe. Mrema kuwa mbunge wao na hata ikishindikana yeye mwenyewe aliahidi kumpa kazi.

Rais hakujali umri wa Mhe. Mrema kwani mwaka ulifuata 2016 alimchagua kuwa Mwenyekiti wa bodi ya parole akiwa na umri wa miaka 70, alimchagua kwa uwezo wake wa utendaji na uchapa kazi wake. Taifa la Tanzania lina watu Zaidi ya milioni 50 lakini aliona Mhe. Mrema ndio anafaa kusimamia magereza yote nchini. Hata alipomaliza kipindi chake cha miaka mitatu Mhe. Rais alimuongezea miaka mingine mitatu 2020 mpaka 2023 kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya parole. Hii inaonyesha heshima Rais wetu kwa Mhe. Mrema kama hazina katika taifa letu.

Mwaka 2015, Mbatia alichaguliwa kuwa mbunge wa Vunjo alikuwa ni kijana, lakini hakufanya kitu kwa maendeleo zaidi ya kulikacha jimbo na kuondoka zake. Lakini Mhe. Mrema japokuwa alikuwa si mbunge kipindi hicho cha miaka mitano lakini aliendelea kufanya kazi Za vunjo. Mhe. Mrema akiwa mbunge 2010 mpaka 2015 aliweza kujenga barabara, kukarabati shule, kutengeneza miundominu ya maji, kuwawezesha mama zetu kupitia vicoba alivyovianzisha ambavyo alikuwa anatoa mikopo bila riba. Lakini sasa vimekufa na havifanyi kazi tena mama zetu wanateseka.

Mwito wangu kwa viongozi mliapa leo na wananchi wa jimbo la Vunjo Mhe. Mrema ndio anafaa kuwa mbunge wetu, tumpe heshima aliyopewa na Rais wetu Magufuli”.View attachment 1537433View attachment 1537435View attachment 1537436View attachment 1537437View attachment 1537438 View attachment 1537439View attachment 1537442
 
Hapana Mrema hawezi tena nashangaa kwanini hapumziki aachane na siasa muda umekwenda.
 
Huyu si kasha uh nga kuhudi na kajihakikishia ni CCM hovyo. Wana Vunjo sudhani kama ni wajinga kiasi hiki cha kuhudhuria hata mkutano wake.

Pumzika mzee Mrema kazi aliyokupa JPM hata hatujakusikia kutembelea hata magereza!! Choka mbaya!?
 
Mnatujazia ujinga bila sababu humu jf.
 
Ndio mwanasiasa pekee aliyepata kura yangu ya urais 1995....angepumzika sasa.
Namkumbuka tulisukuma gari lake alipojiuzuru uwaziri pale Dodoma. Ila yule jamaa aliyetoa ile Nissan patrol kumbeba baada ya kuacha usafiri wa serikali alijuta, mamlaka ya mapato walimshukia Kama mwewe maana walikuwa wanajua Siri zake ndo ali supply vifaa vya ujenzi wa ukumbi wa chimwaga. Nchi hii tumeona mengi wahenga.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom