Wanasikilizia upepoHawajapata Kibali cha polisi, mbona wamepeleka mbali hivyo, au wanajipa muda wa kujipanga vizuri
Fomu za wagombea uenyekiti zinatolewa lini ?
huko sahihi kwani presha imesaidia kufanyika kwa mkutano huo wengine walileta tetesi eti mpaka november ni kwa mujibu wa magazeti yetu . lakini gwajima alivyofyatua wakafyatuka.Gwajima amesaidia mkutano kufanyika haraka sasa. Bila yeye ungesogezwa tena. Zile kelele huwa zinasaidia sana. Nyie hamjui tu. Watu wa aina ya Gwajima hufanya mambo yaende wapo hata ulaya na marekani.