Uchaguzi 2020 Mkutano Mkuu wa CCM 2020 wamchagua John Magufuli kuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amteua Samia Suluhu kuwa Mgombea Mwenza

Hiyo ridhaa hatuwapi ng'oo, tushawashitukia, kwanza hamjui mnataka nini! Kila siku kudandia hoja, mnasubili CCM waseme ndo nanyie mapovu yawatoke! Mawakala wakubwa wa Beberu nyie, mtasubili sana kuwaachia hii nchi. Shubamiti
Hivi ridhaa ya kuongoza nchi si ni wananchi ndo wanatoa? Ningefurahi sana kuiona ccm ikishinda kupitia tume huru ya uchaguzi. Hivi kwanini jambo hili limekuwa gumu wasiwasi upo wapi? Mbona wananchi wameshakubali kazi zilizofanywa? Wekeni tu tume huru ya uchaguzi ili wapinzani wakose cha kuongea
 
Mtapinga sana lakini -Chanda chema huvikwa pete. Rais amefanya mengi makubwa.Hii ni ishara tosha kwenye uchaguzi wa oktoba si chini ya asilimia 98. Mtaona.Viva JPM VIVA TZ VIVA CCM. God bless our country
Ila ingependeza sana jambo hili lifanyike chini ya tume huru ya uchaguzi yaani wapinzani ndo tutawaziba mdomo. Mi sioni shaka inatoka wapi kuwapa wapinzani hiyo tume huru wanayoidai, bila hivyo dhamiri zetu zitatusuta kushangilia huo ushindi wa kishindo wa 98%
 
Wingi wa watu wa kada mbalimbali tulioshudia Jana kwenye luninga unaashiria mini,kwamba CCM inakubalika sana au ndio mialiko inatolewa ili kujaza ukumbi kuonyesha chama kinakubalika
 
Huu mkutano wa mwaka huu ulilenga kutoa ujumbe mmoja: Magufuli anakubalika sana na kila mtu. Hii ni kutokana na chokochoko zilizokuwa zimetokea ndani ya CCM mpaka Kinana na washirika wake kususa. Na pia Membe kutokeza kumpinga waziwazi. Pia tusisahau wananchi wengi wanalalamika maisha yamekuwa magumu na ukandamizaji wa serikali kwa raia ni mkubwa. Ndiyo maana wamejitahidi sana kuhakikisha viongozi karibu wote wastaafu wanakuwepo na watu wote wenye kuonekana kuwa na ushawishi kwa jamii. Hiki siyo kitu kigeni kwani haya ni mazingaombwe ambayo hufanywa na tawala zote za kikandamizaji. Kuna rais wa Romania enzi hizo akiitwa Nicolae Ceusescu. Huyu bwana kabla ya kuondolewa madarakani kwa nguvu ya umma na kuuawa alikuwa ameshinda kura kwa asilimia zaidi ya 90. Haikupita muda likafumuka la kufumuka na wananchi wakamwondoa na kuuawa kwa risasi. Sasa jiulize inakuwaje mtu anashinda kwa asilimia zaidi ya 90 na baada ya muda mfupi anageuka adui kama nyoka. Huu ni mfano mmoja tu. Wako watawala wakandamizaji wengi waliokuwa wamezungwa na kada mbalimbali kutoka kila kona ya nchi, zikiimba mapambio ya kuwasifu, lakini kibao kikageuka ghafla na wakajikuta wanaondolewa na wengine kuuawa kwa hasira za wananchi. Kimsingi mtawala akiwa mkandamizaji hutumia kila juhudi kuonyesha kuwa anakubalika na kila kada.
 
Pumba tupu Acha kupindisha ukweli
 
Tofauti Lipumba na Mrema kuna mjinga gani kaudhuria hapo
Wew ni fala hv udhan ccm ndo ufananisha na konyagi
IMG-20200624-WA0004.jpg
 
Wewe hupendi kujitambulisha kwa kabila lako? Mimi najisikia fahari sana kuwa Mhaya, tena wa Kiziba!
Bora ww ni mhaya na unajitambulisha kwa kabila lako.....VEMA SANA!

Swali bado lipo palepale...... KWA NN ANAPENDA KUJIITA MSUKUMA?
 
Back
Top Bottom