Mkutano Mkuu - CCM Tawi la Uingereza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkutano Mkuu - CCM Tawi la Uingereza

Discussion in 'Matangazo madogo' started by S. S. Phares, Jul 20, 2009.

 1. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2009
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  [​IMG]Kwa wale Wana CCM wa wapenda mageuzi wote nimeikuta hii kwenye tovuti ya Tawi nikaona niwaletee hapa, mpate taarifa.  CCM 02.JPG
   
 2. k

  kanda2 JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2009
  Joined: Apr 22, 2007
  Messages: 1,318
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Yebo yebo umekuwa katibu mwenezi wa ccm reading? Usitusahau kwa fulana na kofia.
   
 3. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2009
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Katibu Mwenezi yupo Mkuu, wenyewe wakisikia unawanyanganya vyeo vyao utakosa fulana na kofia..!!
   
 4. k

  kanda2 JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2009
  Joined: Apr 22, 2007
  Messages: 1,318
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Duuh!! kuna kazi kubwa.hata Dodoma hamjafika ndugu zangu moto unawaka tayari.
   
 5. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2009
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,214
  Trophy Points: 280
  tumepata ujumbe ama kweli miafrica ndo tulivyo!
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  MODs can you close this? ....JF si mbao za matangazo!
   
 7. Nono

  Nono JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,305
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Angalao hapo penye kijani mkuu utumegee zaidi ni aina gani hiyo ya mageuzi?
   
 8. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #8
  Jul 20, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,581
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  Hapa sio mahala pake, CCM na JF wapi na wapi??? Mods close this Thread.
   
 9. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #9
  Jul 20, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  CUF, CHADEMA, ETC mnaweza bandika matangazo yenu hapa nanyi pia, unless huku majuu hamna ma-branchi yenu!

  JF were we dare to post openly!
   
 10. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #10
  Jul 20, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Hapa ni mahala pake mkuu, sema jukwaa la Siasa si mahala pake kwakuwa ni tangazo.

  Kwani JF na CHADEMA au CUF wapi na wapi? :)

  Mabadiliko ya kweli yanatokana na watu na si vyama, wana CCM hawa labda wanaweza kuleta mabadiliko (who knows?)!
   
 11. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #11
  Jul 20, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Huyo aliyeweka tangazo anajuana na watu 3 aliojibu mwanzo hiyo ilikuwa ni kusudi tu kuuliza
   
 12. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #12
  Jul 20, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mkuu halafu kwanini hamna official email ya chama mpaka mtumie gmail
   
 13. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #13
  Jul 20, 2009
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  info(at)ccmlondonuk.org au katibu(at)ccmlondonuk.org
   
 14. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #14
  Jul 20, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Hold on mkuu,
  Hakuna mwana sisi m anaweza kuja na mapya zaidi ya kufikilia kuiibia nchi hii.
  Labda yule atakayezaliwa baada ya mwaka 2010 na akae kwenye kisiwa peke yake kwa miaka 25.
  Ushahidi upooooooooooooo
   
 15. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #15
  Jul 20, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Walioko huko uko huenda ni wasomi kabisa na uwezo wao wameshindwa kabisa kuunga mkono sauti za watz wenzao ambao kila kukicha sasa WANAPIGANIA HAKI/USAWA/URARI/HAKI ZA BINADAMU NA wanapigia kelele ufisadi; dhuluma (north mara ni mfano mdogo kabisa); watu hawapati mlo hata mmoja kwa sababu hawajatenengenezewa mazingira kweli na elimu zenu mnaamua kupanga njama zaidi kulihujumu taifa letu; kweli baniani mbaya; mbona elite wengine wako tofauti angalia elite wa iran wanavyopigania mageuzi; ni aibu waosmi wa tanzania ni aibu eti alama ya jembe na nyundo kweli; kwa hiyo madini yetu; mazingira yetu (yanayoharibiwa nakuaa watu sasa); rasilimali zetu zinazoibwa ndio; richmond; kagoda; iptl; buzwagi ( au ndio wawezeshaji?) nk ndio jembe ne nyundo; ni mali zetu na watoto wetu hizo sio zenu; ipo siku zitarudi; JAMANI RUDINI HUKU SASA MTUSAIDIE WAKULIMA MIAKA 50 KARIBU SASA TUNADANNGANYWA NA CCM; BADALA YAKE TUNAPIGA MACKTIME NYUMA. TUOKOENI JAMANI NIKO KIJIJINI HUKU WATUENDI POIPOTE AU KWA KUWA MMEWEZESHWA
   
 16. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #16
  Jul 20, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Safi sana Tawi la Uingereza, kwa kuitisha Mkutano huo..!
   
 17. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #17
  Jul 21, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hata kama ni mkutano wa kunywa kahawa? unapongeza nini sasa hapo kijana?
   
 18. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #18
  Jul 21, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Huu ni mkutano mkuu wa tawi, hivyo lazima utakuwa na ajenda kadhaa, aidha ni nafasi nyingine ya kupata wanachama wapya...ili kuendelea kuimalisha tawi hilo...


  Nawatakia kila la heri katika mkutano huo...
   
 19. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #19
  Jul 21, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Una kofia na Tshirt lakini kijana?
   
 20. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #20
  Jul 21, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Kamanda, hapo ni sawa na kuulizia jamvi mazikoni
   
Loading...