Mkutano mkubwa wa hadhara Kigwe

kibwaso

JF-Expert Member
May 11, 2013
627
170
Kesho siku ya Jumapili ya tar.25.05.2014, JJ.Mnyika atakuwa kata ya Kigwe-BAHI.Vijana wapo moto maandalizi yanaendelea.
 

WILLAFRICA

JF-Expert Member
Nov 12, 2013
4,033
2,000
Tuko pamoja makamanda ni mwendo wa speed kali hadi magamba yaraluke yote.
Huku ukawa kule mnyika.
Hadi raha!
 

nkongu ndasu

JF-Expert Member
Jan 19, 2013
22,524
2,000
Hongereni Bahi-dodoma, mmepata jembe la ubungo, msikilizeni kwa makini huyo kijana, ana mawazo chanya kweli! Hongera kamanda mnyika!
 

A4.

JF-Expert Member
Mar 16, 2014
671
0
Tueleze lengo la mkutano, watu wavivu hata wakiitwa usiku wa manane kwenda kuwanga wataenda tu!
 

kibwaso

JF-Expert Member
May 11, 2013
627
170
Ndugu A4 watu wavivu wa kujifunza hawapendi mijumuiko ya kupata elimu hadi wasikie kuna pilau
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom