Mkutano maalumu wa SADC watambua mchango muhimu wa Magufuli Rais wa Tanzania awamu ya Tano kwenye Bara la Afrika

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
13,651
18,021
Summit also expressed heartfelt condolences to Dr. Magufuli’s family, Her Excellency President Samia Suluhu Hassan, the Government and the People of the United Republic of Tanzania on the passing of His Excellency Dr John Pombe Joseph Magufuli, the 5th President of the United Republic of Tanzania.

A Visionary leader who championed the development of Africa, the removal of sanctions on Zimbabwe and the introduction and recognition of Kiswahili, a language which was used during the liberation struggle; and stood for the political and economic independence of the Continent, and the use Africa’s natural resources for the benefit of its peoples
 
Mkutano ulikuwa wa lini , ili wadau wapate taarifa na uelewa uliokuwa sawia, kwa lugha unawaacha wengi.
 
Summit also expressed heartfelt condolences to Dr. Magufuli’s family, Her Excellency President Samia Suluhu Hassan, the Government and the People of the United Republic of Tanzania on the passing of His Excellency Dr John Pombe Joseph Magufuli, the 5th President of the United Republic of Tanzania, a Visionary leader who championed the development of Africa, the removal of sanctions on Zimbabwe and the introduction and recognition of Kiswahili, a language which was used during the liberation struggle; and stood for the political and economic independence of the Continent, and the use Africa’s natural resources for the benefit of its peoples.
Mkutano ulikuwa wa lini , ili wadau wapate taarifa na uelewa uliokuwa sawia, kwa lugha unawaacha wengi.
Habari mbaya sana kwa chadema hii
Elitweege,Etweege,habari mbaya kwani wewe no mpenzi wa habari mbaya.
 
Huyo Ibilisi mwenda kuzimu hata muokoteze vijihabari vya kumsafisha hasafishiki ni mchafuu yupo mahali salama huko kuzimu.
Alikuwa na nafasi ya kutengeneza maisha yake akiwa hai ili matendo yake mema akifa watu wayasimulie.

Lakini sisi tumeishi nae tumeshuhudia Matendo aliyo yafanya ya utekaji mauaji utesaji na ukatili kupindukia wa haki za watu. Mungu anajua na hta Ibilisi anajua kuwa hakuwa MTU mwema.
 
Summit also expressed heartfelt condolences to Dr. Magufuli’s family, Her Excellency President Samia Suluhu Hassan, the Government and the People of the United Republic of Tanzania on the passing of His Excellency Dr John Pombe Joseph Magufuli, the 5th President of the United Republic of Tanzania.

A Visionary leader who championed the development of Africa, the removal of sanctions on Zimbabwe and the introduction and recognition of Kiswahili, a language which was used during the liberation struggle; and stood for the political and economic independence of the Continent, and the use Africa’s natural resources for the benefit of its peoples.
Hawa SADC waliokuwa wanamtetea MUGABE au wengine?
 
He was a true leader
 
That's Legacy of JPM!!!!
 
Mkutano ulikuwa wa lini , ili wadau wapate taarifa na uelewa uliokuwa sawia, kwa lugha unawaacha wengi.
Mama aliondoka jana Dodoma baada ya kikao cha CC ya CCM kwenda Maputo kwa ajili ya kikao cha dharura cha SADC kilichokaa leo tarehe 23/06/2021. Na hili ni mojawapo ya maazimio ya hicho kikao. Swali jingine?
 
Huyo Ibilisi mwenda kuzimu hata muokoteze vijihabari vya kumsafisha hasafishiki ni mchafuu yupo mahali salama huko kuzimu.
Alikuwa na nafasi ya kutengeneza maisha yake akiwa hai ili matendo yake mema akifa watu wayasimulie.

Lakini sisi tumeishi nae tumeshuhudia Matendo aliyo yafanya ya utekaji mauaji utesaji na ukatili kupindukia wa haki za watu. Mungu anajua na hta Ibilisi anajua kuwa hakuwa MTU mwema.
Hiyo ni chuki inayotokana na kushikwa na vyeti fake. Dezo inawasumbua.
 
Huyo Ibilisi mwenda kuzimu hata muokoteze vijihabari vya kumsafisha hasafishiki ni mchafuu yupo mahali salama huko kuzimu.
Alikuwa na nafasi ya kutengeneza maisha yake akiwa hai ili matendo yake mema akifa watu wayasimulie.

Lakini sisi tumeishi nae tumeshuhudia Matendo aliyo yafanya ya utekaji mauaji utesaji na ukatili kupindukia wa haki za watu. Mungu anajua na hta Ibilisi anajua kuwa hakuwa MTU mwema.
JPM aliishaumaliza mwendo wake. Imebaki "legacy" yake. Cha wewe kujiuliza ni utaacha nini?
 
Summit also expressed heartfelt condolences to Dr. Magufuli’s family, Her Excellency President Samia Suluhu Hassan, the Government and the People of the United Republic of Tanzania on the passing of His Excellency Dr John Pombe Joseph Magufuli, the 5th President of the United Republic of Tanzania.

A Visionary leader who championed the development of Africa, the removal of sanctions on Zimbabwe and the introduction and recognition of Kiswahili, a language which was used during the liberation struggle; and stood for the political and economic independence of the Continent, and the use Africa’s natural resources for the benefit of its peoples.
Kama Watanzania hawatambui hao Mamluki hata wakitambua ndio itakuwaje ?
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom