Mkutano maalumu wa SADC watambua mchango muhimu wa Magufuli Rais wa Tanzania awamu ya Tano kwenye Bara la Afrika

Hawa SADC waliokuwa wanamtetea MUGABE au wengine?
Ni wale wale ,ambao hata Mseveni akifa kesho au kesho kutwa Kama ambavyo mungu anasema itakua, pamoja na Mambo ya kijangili anayoendelea kuwafanyia waganda , KWA kutumia dola , wanaona ,wanasikia, ila hakuna wa kukemea, lakini siku ya siku atakuja sifiwa tu
 
A Visionary leader who championed the development of Africa
russ.png
drakelaugh.png
 
Magufuli HACHAFULIKI,amemaliza mwendo wake KISHUJAA,na bado anapambana na walio hai akiwa kaburini na bado anawatwanga
 
Back
Top Bottom