Mkutano maalum wa kidunia wa masuala ya Usalama waanza leo mjini Munich. Je,Tanzania imepeleka mwakilishi?

Balozi Dr Possi anatosha kufanya kila kitu, kama hatakuwa na majukumu ya kitaifa hapo ubalozini anaweza kwenda kuwasikiliza nini hawa mabepari wanazungumza.

Ila usisahau kwamba ubalozi wa Tanzania nchini Ujerumani ni moja ya balozi zetu muhimu sana.

Ubalozi huu pia unatuwakilisha katika nchi za Switzerland, Austria, Romania, Czech, Poland, Slovakia, Bulgaria nchi takatifu au Holy See au See of Rome au Vatican.

Hivyo waweza kuona jinsi Dr Abdalah Saleh Possi kwamba ni balozi muhimu sana.
 
CAG aliulizwa kama kuna ufisadi umefanyika akajibu hapana. Wewe unataka kubishana na Raisi wetu ?

Kuhusu uwanja wa Chato kule ni nyumbani kwa kina Raisi Magufuli na huwa anaenda kupumzika, sasa ulitaka Raisi afikaje kwao ? Mbona Jakaya Kikwete alitaka kujenga bandari kule kwao Bagamoyo na hamkulalamika mnakuja kulalamika kwa Raisi Magufuli ? Halafu unajua kwamba Chato Airport utaitwa Geita Airrport, sasa unalalamika nini wakati uwanja utakuwa ni wa Geita ?

Mamlaka maana yake ni Authority or Power to act within certain jurisdiction or bounds of law. Lakini Raisi Magufuli hata akikosea ni udhaifu tu wa kibinadamu lakini jua kuwa ana nia njema sana na nchi hii, wakina Jakaya walilete kufuata Sheria lakini nchi haikufika popote pale. Kama unakumbuka alivyokuwa anamuapisha mama Anna Mghwira alisema " I give you power, and power is power, akikisumbua yoyote yule wewe mshughulikie tu kwa maslahi ya wananchi"

Mkuu demokrasia, utawala wa sheria na haki za binadamu havipo duniani, ni mbinu tu za kibepari kutaka kutukandamiza na kuiba rasilimali zetu kama walivyofanya kule Libya kwa Gaddafi na Kuwait kwa Saddam Hussein.

Mkuu Red Giant unakumbuka mabepari walichomfanyia Raisi wa Kuwait Saddam Hussein ?
najua kuwa hujaruhusu mawazo yako kuhoji bali kusifia juhudi moja kwa moja.
Hatuwezi kuendesha gari huku tulifikiria tu uzuri wasafiri bila kujali ni mafuta kiasi gani yanakwenda pamoja sana muda. Labda pia kuna mafuta yanavuja njia au wahuni wanaiba.
Dalai Lama anasema "If you program your mind to think beyond relatity then all you have to do is to think think and think Again and again".
Asante kwa knowledge uliyonipa Malcom really Appreciate that

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pazuri sana.
1550315661059.png

Hiyo ndo hoteli yenyewe kwa nje.
 
Ila usisahau kwamba ubalozi wa Tanzania nchini Ujerumani ni moja ya balozi zetu muhimu sana.

Ubalozi huu pia unatuwakilisha katika nchi za Switzerland, Romania, Czech, Poland, Slovakia, Bulgaria nchi takatifu au Holy See au See of Rome au Vatican.

Hivyo waweza kuona jinsi Dr Abdalah Saleh Pissi kwamba ni balozi muhimu sana.
Balozi huyu ndo connection yetu na mabepari.
According to Malcom

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahaha......Ila kumtetea mtu kama Raisi Magufuli na serikali ya CCM inahitaji kujitoa ufahamu kichwani. Hayo niliyoyasema huko juu ndiyo Arguments za Cyber Warriors wa CCM hapa jukwaani, yani zinakera na hazinaga mashiko kabisa: Hahahaha lakini tuko pamoja mkuu, mimi binafsi nimekuelewa vizuri tokea mwanzo kabisa na uko sahihi kwenye mambo mengi, nilikuwa nakupa tu changamoto. Uwe na siku njema mbaba
Thanks kwa changamoto nimepata experience kidogo maana kuna wakat wanaweza kukushambulia ukashindwa kujibu kabsa thanks a lot Malcom Lumumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahaha......Ila kumtetea mtu kama Raisi Magufuli na serikali ya CCM inahitaji kujitoa ufahamu kichwani. Hayo niliyoyasema huko juu ndiyo Arguments za Cyber Warriors wa CCM hapa jukwaani, yani zinakera na hazinaga mashiko kabisa: Hahahaha lakini tuko pamoja mkuu, mimi binafsi nimekuelewa vizuri tokea mwanzo kabisa na uko sahihi kwenye mambo mengi, nilikuwa nakupa tu changamoto. Uwe na siku njema mbaba

Mkuu kwa mujibu wa wanadiplomasia walotukuka kama mzee Wolfgang Ischinger, dunia kwa sasa wanasema ipo kwenye hatua ya mgawanyiko yaani wanasema kwamba "global liberal order is fragmenting".

Hiyo ni kwasababu wanaona Donald Trump anazidi kuharibu kwa kutumia tu tweets na mtafaruku baina ya mabepari hao Marekani, Russia na China unapamba moto.

Halafu pia kuna mgogoro wa kiaina kati ya Umoja wa Ulaya na Uingereza kuhusu Brexit.

Vipi mtazamo wako?
 
Mkuu hili la Brexit nilimjibu Wick kwenye ule uzi wangu wa HardTalk. Nimeelezea chanzo kabisa kwamba mara ya kwanza Uingereza wanatuma maombi kujiunga, Ufaransa walikataa na kusema kwamba Uingereza watakuja kuwasumbua huko mbeleni na hata Waingereza wenyewe hawakutaka kujiunga kabisa. Ukipata mda pitia
 
Ngoja niupitie na Mm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu...

Siku inasomwa taarifa ya makinikia nlijisikia faraja,nikajisemea "dah huyu mtu anaonekana atafanya mengi mazuri"
Ila wazo lingine likaniambia usimuamini sana maana hachelewi kutoa boko

.....kabla ya giza taarifa ya Lissu naona kapigwa risasi,huku tunaambiwa mnajua wasaliti kwenye vita ya uchumi wanafanywaje

.....toka lile wazo mpk leo tunavyochafuka

.....heshima kaipoteza sana,kumsafisha inabidi mikakati na sio kwa mtindo anaoutaka
Awe mpole watu wamsaidie

Hamna budi kuchutama wazee
Mkuu mnakazana kusema madhaifu ya Raisi Magufuli, hivi mema yake hamyaoni ?? CAG mwenyewe alikiri mbele ya Raisi kwamba hakuna wizi wa Trilioni 1.5 sasa ninyi mnalazimisha! Kwani hamuoni kwamba ndiyo zimeenda kuleta maendeleo kule Chato ambako siku hizi kuna Uwanja ndege wa Kimataifa na hadi bandari ?

Elimu yetu imepanda sana watoto wanasoma bure hadi kidato cha nne, kule SUA panya wanafundishwa kutegua mabomu.

Kuhusu mhimili mmoja kusimama kuliko mingine ni sawa kabisa, maana huko kwenye mahakama na bunge kulikuwa na rushwa sana hivyo Raisi ananyoosha sasa. Tunapigana vita ya kiuchumi na mihimili kama mahakama na bunge imetumiwa sana na mafisadi kuvuruga kesi. Unakumbuka ile kesi ya Raisi ya Samaki kipindi kile ni waziri ilivyovurugwa na Mahakama hadi kuiletea nchi hasara ya mabilioni ya pesa ?? Unakumbuka ile kesi ya 2009 wakati ni waziri wa ujenzi mahakama iliiharibu na kuwatetea mabepari na kusababishia nchi yetu hasara kubwa sana hadi mwaka juzi ndege zetu za Bomberdier zilikamatwa huko CANADA ?

Kuhusu wakuu wa mikoa na wilaya, wale bado ni vijana damu bado inachemka, wana nia njema sana hivyo muwavumilie tu. Hata kama hamuwataki hamuwezi kuwatoa kwasababu Raisi wetu ni mwanaume wa kisukuma kutoka kanda ya ziwa, wanaume wa kanda za ziwa hasahasa wasukuma wanasifika sana kwa misimamo thabiti kuliko sehemu yoyote ile nchini, hivyo hamuwezi kumpangia nani anafaa na nani hafai.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu...

Siku inasomwa taarifa ya makinikia nlijisikia faraja,nikajisemea "dah huyu mtu anaonekana atafanya mengi mazuri"
Ila wazo lingine likaniambia usimuamini sana maana hachelewi kutoa boko

.....kabla ya giza taarifa ya Lissu naona kapigwa risasi,huku tunaambiwa mnajua wasaliti kwenye vita ya uchumi wanafanywaje

.....toka lile wazo mpk leo tunavyochafuka

.....heshima kaipoteza sana,kumsafisha inabidi mikakati na sio kwa mtindo anaoutaka
Awe mpole watu wamsaidie

Hamna budi kuchutama wazee

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani anaongea kwenye hafla kumbe ndo anatoa order kwa watu.
Hiyo kwa wale wenzangu wa literature tunasema Kuna Connotation na denotation.

Ukweli ndivyo ilikua hivyo

Kuna muda nikiwa natazama ile hotuba subufa alimnong'oneza jambo akaitikia kwa kichwa

Kila nikikumbuka lile jambo inaniaminisha kama alimnong'oneza "JOB DONE"

Ningeweza kuunganisha dots kama ningepata taarifa muda wa shambulio na muda alionong'onezwa

Wale jamaa wanatuona the rest of Tanzanians are fools vile wakati kuna watu wanajua kila kinachoendelea ndani yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha mzee anahiribu sana kisa kiburi na ujuaji kwa sehemu ambazo hatakiwi kuwa mjuaji. Yule mzee angekua ni mtu muungwaa wa kusikiliza basi nchi hii ingefika mbali sana.
Akiwa mpole mbona watu wanasahau

..... anabebwa kwenye mbeleko la chuma kumbe ameingia na gas ya kukatia,ukimbembeleza akitulia kidogo akikurupuka anakutwanga na mkuki
.....habebeki bhana

Kimsingi tabia zake ndo za kijuha
Inatugharimu mnoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom