Mkutano kuhusu malaria mjini Nairobi Kenya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkutano kuhusu malaria mjini Nairobi Kenya

Discussion in 'Kenyan News and Politics' started by Dark City, Nov 3, 2009.

 1. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Kuna mkutano mkubwa unaojumuisha watu kutoka pembe zote za dunia wanaoshughulika na utafiti na pia mapambano dhidi ya malaria mjini Nairobi, Kenya. Umefunguliwa juzi Jpili jioni na Makamu wa Rais wa Kenya, Kalonzo Musyoka. Kwa habari zaidi tembelea tovuti hii http://www.mimalaria.org/pamc/.
   
Loading...