mkutano ccm kijenge bondeni hali mbaya

Luthar

JF-Expert Member
Jul 29, 2011
519
105
Hapa hali ni mbaya maana kaja alemde na devutwa ndiyo wageni rasmi hawana jipya full kubogi ccm arusha awana lao
 
Lakini msisahau kuchukua chochote watakacho jipendekeza nacho "Kula CCM, Kura CHADEMA" hiyo ndo habari ya mjini.
 
Mwigulu hata kibanda cha kufikia Iramba hajajenga itakuwaje akija kuwafundisha ujanja wana Arusha? OGOPENI HII MADEVU
 
Jamani mbona 2015 cdm itakosa wapinzani jamani,, Nendeni hata wachache tu wa kuwafariji
 
Huku Juliana naye karahisisha mambo...Hakuna Chama chenye mafisadi kama CCM
Sosi Mungi
 
Last edited by a moderator:
Duh!!! Dovutwa tena!!
Kweli sikio la kufa halisikii dawa.
CCM bye bye bye!!!
 
Ungefafanua vizuri unamaana gani kusema una hali mbaya?, lakini pia who is dovutwa? Au una maana yule mwenyekiti wa UPDP?
 
Hapa hali ni mbaya maana kaja alemde na devutwa ndiyo wageni rasmi hawana jipya full kubogi ccm arusha awana lao


Che Nchemba




995041_514299688619539_1821442321_n.jpg
983686_514296948619813_1042138777_n.jpg
 
Hapa hali ni mbaya maana kaja alemde na devutwa ndiyo wageni rasmi hawana jipya full kubogi ccm arusha awana lao

Chadema mna hangaika na CCM Arusha! Kumbe yale maneno ya kusema Chadema wameizika CCM Arusha zilikua ni propaganda tu,kama kitu umekizika ya nini kuhangaika nacho! CCM bado ipo Arusha Kumbe!
 
Waacheni ccm wafe,tumewachoka na akili zao ndogo/ushahidi wao wa duniani na mbinguni-sijui umeishia wapi.mp..zi kweli huyu jamaa
 
Lilambo; Ni kweli CCM ipo Arusha lakini ni dhaifu, nadhani umeelewa sasa!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom