Mkurya na Security Guard Job Application. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkurya na Security Guard Job Application.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Indume Yene, Aug 24, 2008.

 1. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2008
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  KIjana mmoja wa kikurya alikuwa akitafuta kazi. Kijana huyo alikumbana na tangazo la kazi katika gazeti moja, sharti mojawapo la muombaji anatakiwa kuongea na kuelewa lugha ya kiingereza. Na utakapotuma barua ya maombi unatakiwa iandikwe kwa lugha ya kiingereza. Ifuatayo ni barua ya huyo kijana kwenda kwa muajiri:-

  For GGM Company
  Box Geita

  APLICATION OF JOB
  I am aply to my job of security guard to you boss in you company of GGM.
  I am complete to Sitandad 7 examination certificate in 1997. My skool here Nyamongo very good. I am 27 ears to be Born of age and no waif and no childish. My father deaded long time ago and my mother is marry in Swaziland country there 10 years now, no see she until now, so nobody known to help me money and food and tea and drink.
  My certificate is justsitting home for itself, but passes in Mathematics, Geography, Science and all subjects but fail in English because of Mjaluo teacher teaching me is look
  jelous of myself. Me because wear expenses cloth and shoe than Mjaluo teacher.

  I here people you want security guards to your company and I tell you I am one of that job experience for 2 years looking video for Rambo I, II and III. I also shot thief dead. I want to join the company of you and chase
  criminal and thief out with SMG of me. I can fight for SMG, arrow, spear, panga, knife, stick and stones. Me also can fight for boxing like Tyson.

  Please consider my aplication very careful and call me any time because me have hand telephone now. I am red for interview with you if you like me.
  Me have no photocopy certificate because the photocopy machine there at Mchaga shop is of a long time and very old it can mistake spelling in the certificate, that is why.
  I am very hornest and I didn't steal since I born until now. I can speak English free.
  I have no very many I end here. Please also greet your wife and childish!

  Yours
  Emmanuel Meneja (AK47)
   
 2. Titus

  Titus Member

  #2
  Aug 25, 2008
  Joined: Jul 28, 2007
  Messages: 80
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mbaaaya kabisa, hivi ndivyo english ya vijana wengi wa kitanzania ilivyo, kuna watu walituma application zao hapa kwangu, ziwezi tu kuweka hapa hizo barua zao, ni aibu. vijana wengi hawajui kuongea kiingereza kinyoofu na hawajiamini, alafu ndo kwanza eti mnataka kiswahili ndio kiwe lugha ya kufundishia, kweli mnacheza, bora hata huo mjadala uliishialia mbali, kudadadekiii
   
 3. ChocolateColor

  ChocolateColor Member

  #3
  Aug 25, 2008
  Joined: Jul 18, 2008
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii kali ni barua ya kazi au ???
   
 4. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #4
  Aug 25, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  ..... acheni kubeza jamani, kwa kazi ya ulinzi na kisomo cha darasa la saba hapa bongo, hiyo barua inatosha kabisa. kumbuka jamaa ana miaka 27, hivyo hilo darasa la saba kamaliza miaka kumi naa iliyopita

  ..... tena amejitahidi tu. halafu jamaa anaonekana mwaminifu kwa jinsi alivyoandika na kaeleweka yote aliyoandika unless mtu uwe na lako kibindoni ndiyo usimwelewe. ningelikuwa mimi mwajiri hakika ningempatia kazi. sema lile jambo la kumpiga mwizi risasi tu ndiyo lingeweza kuleta utata na maswali zaidi, ningependa kujua mazingira hayo zaidi (kama mwizi huyo naye alikuwa na silaha kali)
   
 5. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #5
  Aug 25, 2008
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mie nakubalia na wewe,jamaa amejatahidi sana,unajua kuongea kiswahili kwa kutumia kiingereza si kazi rahisi,inahitaji ufundi na ujuzi kama aliotumia jamaa.
   
 6. Congo

  Congo JF-Expert Member

  #6
  Aug 25, 2008
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,272
  Likes Received: 559
  Trophy Points: 280
  Jamani, kwa mtu aliyemaliza darasa la saba Tanzania hii, tena kijijini, Kiingereza hicho ni bora sana. Ujumbe umefika na unaeleweka.
   
 7. Kinyau

  Kinyau JF-Expert Member

  #7
  Aug 25, 2008
  Joined: Nov 24, 2006
  Messages: 793
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  who pretends hajaelewi kitu kwenye barua hiyo!!!mbona hata wachina,wajerumani tupo nao maofisini nao ni hivyo hivyo tuuu, so long as anaweza kujiexpress hata kwa broken akaeleweka na level ni ulinzi i dont see the problem, sometimes we behave as if we were born in manhatan city kumbe we should thank God we even got the opportunity to go to college.
   
 8. N

  Ngoso Mchila Member

  #8
  Aug 25, 2008
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ==========================================================

  Kwangu mimi huyu mkurya amejieleza bomba sana. Tatizo ninaloliona ni jinsi atakavyopatikana kwani hakuweka maelekezo sawia...labda kwakuwa atakwenda kuulizia mara kwa mara waungwana waweza kumshtua.

  Kwa shule kama zetu ambapo kukaa chini ni kawaida na walimu wote wako likizo, ni aghalabu kukuta darasa la saba kuweza kuandika kama Mkurya. Kwa ujumla mimi binafsi namfagilia sana jamaa kwa kufikisha ujumbe. Asiyeelewa shauri yake!
   
 9. NaimaOmari

  NaimaOmari JF-Expert Member

  #9
  Aug 25, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 807
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Mtu kama huyo si wa kudharauliwa maana anajiamini na wala aibu hana .. akipata mazingira tu ya kithungu ... wallahi anapeta kwa wiki tu maana anampangilio mzuri wa kujieleza halafu maneno anayajua maana ukisoma hapo juu hatumii dictionary
   
Loading...