Mkurugenzi Wilaya ya Chamwino acha tabia ya kuwapiga Watumishi wa chini yako!

Huyo aliyepigwa ni fala alipigwe tu! Inakuwaje mtu mzima unapigwa kiboya umetulia tu bila kujibu mapigo kwa kurusha hata short range misile?
Hii nchi ina wanyonge wengi sana sasa nimeanza kuamini
Walipokuwa hata kitofali hamna? Aise Bora nirushe akwepe
 
Kupigwa na mkurugenzi inaa manaa una sifa za kuwa mtumishi lasivyo Wacha wadundwe kama yalibakia na vyeti feki
 
Back
Top Bottom