Mkurugenzi wa zamani benki ya rasilimali, Peter Noni na Wakili Dr. Ringo Tenga wafikishwa mahakamani kwa uhujumu uchumi

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,898
Wakurugenzi wa Kampuni ya Sixtelecom, Peter Noni na Dk.Ringo Tenga, Ofisa Mkuu wa Fedha, Noel Chacha na Mhandisi wa Kampuni hiyo, Rashid Shamte, wamefikishwa mahakamani kwa uhujumu uchumi kwa kukwepa kulipa gharama za mawasiliano, kutakatisha fedha zaidi ya Dola za Marekani milioni tatu na kuisababishia hasara Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), ya kiasi hicho cha fedha

Peter Noni alikuwa pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa zamani wa Benki ya Rasilimali Tanzania (TIB)

ringo.jpg


---------------------------
mahakama.jpg

Washitakiwa ambao ni wakili maarufu wa kujitegemea Dkt. Ringo Tenga na Mkurugenzi mtendaji wa zamani wa benki ya rasilimali TIB Dkt. Peter Noni wamesomewa mashitaka sita likiwemo la utakatishaji wa fedha.
 
DAR: Mkurugenzi Mtendaji wa zamani wa Benki ya Rasilimali Tanzania (TIB), Peter Noni na Wakili maarufu wa kujitegemea, Dr. Ringo Tenga, wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi
 

Attachments

  • DPEYLCNW0AAFSnX.jpg
    DPEYLCNW0AAFSnX.jpg
    17.5 KB · Views: 234
Back
Top Bottom