Mkurugenzi wa VODACOM, TIGO, ZANTEL, TTCL, AIRTEL pitieni hapa, huwenda kukawa kuna faida kwenu

Ndo ujifunze sasa kuwa kufuatilia mambo yasiyokuhusu ni dalili za umbea
"Ukimwona mnyama anazunguka palepale tu kwenye eneo lake la machungo kula majani wala hata haondoki kwenda sehemu nyingine, bila shaka kuna moja kati ya mawili: Ama amefungwa kamba shingoni na wenyewe wenye mali yao au "amefungwa komba akili" na wenyewe wenye mila yao."~ Anonymous
 
A na B yanaweza kuwa majibu sahihi. Inategemea na akili ya mmiliki, au/na akili ya aliyetafsiri dhana hiyo.
 
Mnunuzi ataingia kwenye kipengele cha Lipa kwa uthibitisho kisha atatuma pesa taslim TSH 500,000/= kwenda kwenye namba ya Muuzaji 07567563890 kwa ajili ya ununuzi wa TV

Mnunuzi atapokea meseji ya uthibitisho kwamba muamala umefika kwa muuzaji, meseji itaambatana na namba ya uthibitisho labda 7689

Huku kwa Muuzaji, nayeye atapokea muamala wa TSH 5000000/= kutoka kwenye namba ya Mnunuzi 06517271992
Muamala huo utaambatana na namba ya uthibitisho, labda 8126
Lipa kwa uthibitisho kisha atatuma pesa taslim TSH 500,000/=
Muuzaji
, nayeye atapokea muamala wa TSH 5000000/=
 
Back
Top Bottom