Mkurugenzi wa tume ya uchaguzi ajipime

Nilichomuelewa Kailima,wale Wabunge bwa viti maalum waluogombea kwa Dar ndiyo wenye haki ya kuwa Madiwani.Siyo wale waliogombea kwa Morogoro halafu wanaoishi Dar,maana wale tayari ni madiwani wa sehemu husika.Na pia inaweka wazi kwamba wale wa Z'bar hawapaswi kupiga kura.
Ilala kuna wabunge wawili wa viti maalum walinyimwa kupiga kura mmoja ni CDM na wa mwingine ni wa CCM. nadhani Kailima alikuwa na refer kwa.hawa wawili na kwa wale wa Z'bar
 
Hizi tume za uchaguzi za nchi hii zinatia aibu uso wa dunia. Jecha amebaka haki za wapiga kura wa Zeenji, Kailima nae anakuja na njia hiyo hiyo, wapi iliandikwa kuwa lazima ccm ndio wawe viongozi nchi hii jamani? Kwa nini wanalazimisha kuchafua utulivu huu uliopop?
 
Back
Top Bottom