Uchaguzi 2020 Mkurugenzi wa TPSF Dkt. Godfrey Simbeye achukua fomu ya kuwania Ubunge katika Jimbo la Mbozi

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,813
4,545
Dkt. Godfrey Simbeye amechukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Mbozi katika ofisi za CCM Mbozi na amekabidhiwa fomu hiyo na katibu wa CCM Wilaya Julius Mbwiga.

Simbeye Mbozi.jpg
 
Back
Top Bottom