Mkurugenzi wa TPA aliyesimamishwa kazi, Kakoko ashikiliwa kwa mahojiano na TAKUKURU

5 December 2018
Enzi za injinia Kakoko kuzitafuta bandari bubu

Mkurugenzi Mkuu wa Bandari engineer Deusdedit Kakoko akifuatilia bandari 200 bubu ambazo zinazikosesa Mamlaka ya Bandari Tanzania TPA.
 
Hivi ule mkakati wa madawati ya shule uliishia wapi?? hizi pesa zingepelekwa kule direct....si ni za wizi aka ufisadi.....sbb by now ni kama ushahidi....kesi ikiisha zimeliwa na wengine....hii ndio Tanzania yetu.......
Ila kuna watu wana roho ngumu sana....mpunga wote huo unauweka ndani kweli!!!!...china huyu angenyongwa hadharani kabisa.....ni karibia 4b.........watu tunatafuta hata mtaji wa 10m hatupati kuna msomi mmoja kahifadhi 3.7b kwenye begi home.....ngoja tuangalie movie kwanza....
 
🤣👋
IMG_20210330_113115.jpg
 
Asanteni, serikali, kwa uwazi mnaoanza kuuonyesha, ... maana, hapo nyuma kidogo tu, tusingekuwa tunajua Kakoko yupo wapi sasa hivi! 😅
... tunazidi kuomba vilevile mtuhumiwa apewe haki ya kujitetea ... HAKUNA KITU KAMA UTAWALA BORA!
 
Kazi inaendelea au ni maigizo yale yale tu.
Hakuna kazi hapo ni CCM Comedians @ work....!!! Kumbuka huyu Kakoko a.k.a. Kigogo alikuwa mteuls wa Jiwe ns alisifiwa sana. Likely walikuwa na mahusiano ya kaaaribu sana na Jiwe....!!!
Mama hatakiuka nyayo za marehemu Jiwe......ule msemo wa "Ndege wa Unyoya mmoja huruka pamoja".
 
Nchi ngumu sana hii kuielewa
 
Wajinga waliamini kuwa mafisadi wamekomeshwa kumbe wachache wanajilia keki ya taifa kimya kimya wakiongozwa na mkuu wao.
Miradi ya IKulu ya Jiwe Chato, Uwanja wa ndege Chato, Mbuga mpya ya Wanyama Chato(a.k.a Burigi), Barabara za lami na Mataa Chato, zingejengwaje bila ya Jiwe kuweka watu wake sehemu nyeti za Fedha kama Bandari(Kakoko), Hazina(Dotto James) ili wawe wanamtafutia pesa zilizo nje ya mfumo wa Bajeti?
Rejea ripoti ya CAG 2018/19 aliyeng'olewa(Prof. Assad) kuhusu upotevu wa 1.5Trillion!
 
Huyo jamaa inaonekana alikuwa mpigaji, kajificha kwenye kichaka cha kuaminiwa na Magufuli. TAKUKURU endeleni kuusaka uhalifu wote na mtandao huo uliokuwa TPA.
Very likely huyu jamaa walikuwa karibu sana na Magufuli na yawezekana kulikuwa na makubaliano maalumu katika Upigaji huu siyo bure!!!
 
Vip kuna taarifa kuwa kapekuliwa nyumbani kakutwa na begi lenye mihela kibao zina ukweli hizi wakuu?
 
Mataga mumeanza 😁
Wewe nzi wa kijani ndo unaanza au?
Yaani watu kuhoji kwanini huyu Kigogo alikuwa anaendelea piga hata chini ya Utawala wa Jiwe ni kosa? Mwalimu alikuwa akisema, ALIYEPOKEA, ALIYEYOA AWE MWISLAMU AU MKRISTO WOTE MAZI GA NYAZA..."
Hapa hatuangalii UDINI baali KATIBA NA SHERIA ZINASEMAJE. Usianze kutubeba kwenye gari la UDINI NA UKABILA.....!!!
Nyambaf.
 
Hivi idara nyeti kama hizi huwa zinakosa watu wa usalama wa taifa ili kufuatilia nyendo za wapiga dili kama hawa?
Mkuu hujui kuwa Jiwe ndiye alikuwa anawakingia kifua na neno lake ndilo lilikuwa final. Acha aende Mungu kaliponya Taifa, jamaa alikuwa anajificha kwenye kichaka cha uzalendo uchwara kumbe jizi pia.
 
Wewe nzi wa kijani ndo unaanza au?
Yaani watu kuhoji kwanini huyu Kigogo alikuwa anaendelea piga hata chini ya Utawala wa Jiwe ni kosa? Mwalimu alikuwa akisema, ALIYEPOKEA, ALIYEYOA AWE MWISLAMU AU MKRISTO WOTE MAZI GA NYAZA..."
Hapa hatuangalii UDINI baali KATIBA NA SHERIA ZINASEMAJE. Usianze kutubeba kwenye gari la UDINI NA UKABILA.....!!!
Nyambaf.
Umeshalewa sana hizi
 
Untouchables now wanaisoma namba kweli hii ndio nchi iliyokua inahubiriwa uzalendo na mtakatifu mwendazake, nadhani bado yule mzee kiwete wa TANROADS yule atakua na hela kuliko Cyril Ramaphosa wa SA, believe me, kwakua alikua anakwapua anampelekea mfalme sasa kwakua yeye sio mjinga anachukua chake mapema kabla hajampelekea mzee mzigo,

Mwaka huu taifa litainuka na uchafu wooote utaanza kuonekana, kumbe walikua wanatoa mapovu sijui uzalendo sijui mababeru sijui madume kumbe ilikua gia ya kujificha wasihojiwe loh Tanzania nchi yangu.
Mwingine anayetakiwa kuchunguzwa kwa kina ni dpp. Naye, wahusika wanasema ametumika sana na yeye kujitajirisha vilivyo kupitia pesa ya waliokuwa wanalazimishwa kukiri makosa.

Uongozi wa awamu iloyopita ulikuwa ni uongozi wa kijambazi uliopebda sana kutumia neno uzalendo, kuficha maovu makubwa waliyokuwa wakitenda. Ndiyo maana haukuoenda kabisa vyombo vya habari wala raia kuwa huru kutoa maoni yao. Ogopa sana kiongoxi anayezuia watu kuwa na uhuru wa kuongea, na vyombo vya habari kufanya kazi kwa uhuru.
 
Untouchables now wanaisoma namba kweli hii ndio nchi iliyokua inahubiriwa uzalendo na mtakatifu mwendazake, nadhani bado yule mzee kiwete wa TANROADS yule atakua na hela kuliko Cyril Ramaphosa wa SA, believe me, kwakua alikua anakwapua anampelekea mfalme sasa kwakua yeye sio mjinga anachukua chake mapema kabla hajampelekea mzee mzigo,

Mwaka huu taifa litainuka na uchafu wooote utaanza kuonekana, kumbe walikua wanatoa mapovu sijui uzalendo sijui mababeru sijui madume kumbe ilikua gia ya kujificha wasihojiwe loh Tanzania nchi yangu.

Toa mambo yako ya kigogo
 
Back
Top Bottom