Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 58,978
- 103,352
Huyo mzee Sembeye huwa anafunguka mara kibao, hayo anayoongea bado anaongea kwa uoga lakini ukiongea naye pembeni unaweza usiamini. Hali sio lakini kwa sababu kisingizio ni kunyoosha nchi hebu tuendelee kuona. Lakini nina uhakika kila mtu akiianza kupaza sauti itakiwa too late.