Mkurugenzi wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Simbeye: Sekta binafsi hali ni 'tete'

tindo

tindo

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2011
Messages
22,512
Points
2,000
tindo

tindo

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2011
22,512 2,000
Huyo mzee Sembeye huwa anafunguka mara kibao, hayo anayoongea bado anaongea kwa uoga lakini ukiongea naye pembeni unaweza usiamini. Hali sio lakini kwa sababu kisingizio ni kunyoosha nchi hebu tuendelee kuona. Lakini nina uhakika kila mtu akiianza kupaza sauti itakiwa too late.
 
commonmwananchi

commonmwananchi

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2011
Messages
3,119
Points
2,000
commonmwananchi

commonmwananchi

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2011
3,119 2,000
Mkurugenzi wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) Bwana Godfrey Simbeye, amesema sekta binafsi sasa hivi zinapitia kwenye wakati mgumu kutokana na kodi ambazo TRA wameziweka, kitu ambacho kinaweka mazingira magumu ya kazi za uzalishaji.
Bwana Simbeye ameyasema hayo alipokuwa akizungumza kwenye kipindi cha East Africa Breakfast kinachorushwa na East Africa Radio, na kusema kwamba licha ya serikali kuweka jitihada zake za kuimarisha sekta hizo, lakini kumekuwa na changamoto kubwa inakuja kwenye utaratibu usiofaa wa ukasanyaji kodi.

“Serikali kwa juhudi zake imeendelea kutengeneza mazingira mazuri ya biashara, kama kurekebisha njia za usafirishaji ikiwemo reli na viwanja vya ndege, lakini suala la kodi limekuwa ni tatizo, malalamiko mengi ya sekta binafsi yanatoka kwa namna ambavyo TRA wanakusanya kodi, ni kero kubwa, imekuwa kwa mwezi mmoja taasisi binafsi inaweza ikatembelewa na timu ya TRA tatu na zote zikaja na makadirio tofauti, kwa hiyo hilo suala tunatakiwa tuliangalie”, amesema Bwana Simbeye.

Bwana Simbeye ameendelea kwa kusema kwamba changamoto nyingine ambazo sekta binafsi zinapitia kwenye kipindi hiki ambacho uwekezaji unakua, ni pamoja na kukosa mikopo, kutokana na hali ya mabenki ilivyo kwa sasa.

“Uwekezaji mpya unakua Tanzania, hata kwenye kituo cha uwekezaji project mpya zimeongeneka, lakini uwekezaji wa ndani bado haujakuwa sana kwa sababu hali ya kukopesha kwenye sekta binafsi bado haijawa nzuri, bado hatujaona dalili nzuri ya ukopeshaji wa mabenki kwenda sekta binafsi, ingawa serikali imekuwa ikiendelea kutoa dhamana ya serikali, lakini kwa upande wa sekta binafsi bado”, amesema Bwana Simbeye.
Huko kwenye media ndiko iliko solution ya tatizo?
Je alikwisha wasilisha madai hayo kwa wahusika?
Yeye mbali na kuongea tu je? Ametoa viambatanisho gani ili kuthibitisha alichokisema.

Hawa wafanyabiashara wa Tanzania wengi walikuwa wapigaji tu Kama ACACIA,(walipa kodi wakweli walikuwa viwanda vya pombe na sigara),ndio maana wameshindwa Ku perfom kwenye fair play na TRA.
Walikuwa hawalipi kodi na bei bado zilikuwa juu, na sasa wanalipishwa kodi bado mambo ya bei saa ingine zinashuka jee hii imekaaje
 
Kibanga Ampiga Mkoloni

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2007
Messages
17,091
Points
2,000
Kibanga Ampiga Mkoloni

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2007
17,091 2,000
Source: Sekta binafsi hali ni 'tete' - Simbeye | East Africa Television

WEDNESDAY , 18TH OCT , 2017
NA MELLANIA JULIUS
Mkurugenzi wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) Bwana Godfrey Simbeye, amesema sekta binafsi sasa hivi zinapitia kwenye wakati mgumu kutokana na kodi ambazo TRA wameziweka, kitu ambacho kinaweka mazingira magumu ya kazi za uzalishaji.

Mkurugenzi Mtendaji wa TPSF, Godfrey Simbeye

Bwana Simbeye ameyasema hayo alipokuwa akizungumza kwenye kipindi cha East Africa Breakfast kinachorushwa na East Africa Radio, na kusema kwamba licha ya serikali kuweka jitihada zake za kuimarisha sekta hizo, lakini kumekuwa na changamoto kubwa inakuja kwenye utaratibu usiofaa wa ukasanyaji kodi.

“Serikali kwa juhudi zake imeendelea kutengeneza mazingira mazuri ya biashara, kama kurekebisha njia za usafirishaji ikiwemo reli na viwanja vya ndege, lakini suala la kodi limekuwa ni tatizo, malalamiko mengi ya sekta binafsi yanatoka kwa namna ambavyo TRA wanakusanya kodi, ni kero kubwa, imekuwa kwa mwezi mmoja taasisi binafsi inaweza ikatembelewa na timu ya TRA tatu na zote zikaja na makadirio tofauti, kwa hiyo hilo suala tunatakiwa tuliangalie”, amesema Bwana Simbeye.

Bwana Simbeye ameendelea kwa kusema kwamba changamoto nyingine ambazo sekta binafsi zinapitia kwenye kipindi hiki ambacho uwekezaji unakua, ni pamoja na kukosa mikopo, kutokana na hali ya mabenki ilivyo kwa sasa.

“Uwekezaji mpya unakua Tanzania, hata kwenye kituo cha uwekezaji project mpya zimeongeneka, lakini uwekezaji wa ndani bado haujakuwa sana kwa sababu hali ya kukopesha kwenye sekta binafsi bado haijawa nzuri, bado hatujaona dalili nzuri ya ukopeshaji wa mabenki kwenda sekta binafsi, ingawa serikali imekuwa ikiendelea kutoa dhamana ya serikali, lakini kwa upande wa sekta binafsi bado”, amesema Bwana Simbeye.
 
mitale na midimu

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2015
Messages
9,889
Points
2,000
mitale na midimu

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2015
9,889 2,000
kumbe shida sio kodi bali mfumo wa kuzikusanya hizo kodi au mimi ndio sijaelewa.
TRA Inabidi nayo ifafanue kauli ya huyu kiongozi.

na ingekuwa vizuri mkuu wa sekta binafsi akatoa andiko linaloonyesha matatizo na nini kifanyike huku akitoa possible options ili hata yasipofanyika yeye awe ametimiza utumishi wake kwa wananchi sio kuongea kwa juujuu kwenye media.
leo hapa ilipaswa mjadala uwe wa kitu rasmi sio sentensi moja tu.
kodi tulipe ila biashara nazo zisimame huu mlinganyo ndio unahitaji dawa...
 
Jidu La Mabambasi

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Messages
5,491
Points
2,000
Jidu La Mabambasi

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2014
5,491 2,000
Bila kumung'unya maneno hali ni mbaya.
Mi niko sekta binafsi na nimejiajiri na nimeajiri.
Kutokana na mapato kuporomoka changamoto ya kulipa mishahara ni kubwa.
Na ili usipate kero za kushindwa kulipa kodi za kuajiri kama PAYEE, NSSF, SDL, Workers Compensation na mafao mengine, inabidi kuwaachisha wafanyakazi mara moja.

Kero ya TRA ni tatizo lingine.
Wao wanafanya kukomoa ili kufikisha lengo la makusanyo ofisini kwao.
Walikuja kwangu na wakagundua risiti moja niliyo declare yenye VAT ya laki mbili na nusu ya mwaka jana.

Hiyo kodi ikasukwa fine na interest na kufikia milioni tatu na laki tatu!
Sasa ukiwa na makosa kumi tu unafunga biashara!

TRA haiwezi kukwepa lawama za kufunga biashara nyingi hapa mjini.
Tembelea Kariakoo na uone maduka na frame zilizofungwa.
 
sosoliso

sosoliso

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2009
Messages
8,355
Points
2,000
sosoliso

sosoliso

JF-Expert Member
Joined May 6, 2009
8,355 2,000
Huyo mzee Sembeye huwa anafunguka mara kibao, hayo anayoongea bado anaongea kwa uoga lakini ukiongea naye pembeni unaweza usiamini. Hali sio lakini kwa sababu kisingizio ni kunyoosha nchi hebu tuendelee kuona. Lakini nina uhakika kila mtu akiianza kupaza sauti itakiwa too late.
Kuna kipindi alisema kuna hali isio salama kati ya China na Tanzania.. Na akazungumzia umuhimu wa Rais kuonana na uongozi wa juu wa China kutatua shida iliyopo.. Serikali ya China imeweka mgomo baridi.. Unajua China ya sasa sio kama ile ya enzi za Mwalimu.. China ya sasa haina tofauti na USA.. Inaangalia maslahi yake kwanza..
 
B

Benny Haraba

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Messages
4,694
Points
2,000
B

Benny Haraba

JF-Expert Member
Joined Dec 7, 2012
4,694 2,000
Bwana huyu mimi huwa simuelewi kabisa anachokuwaga anakiongeleaga mara zote. Tumevurugwa
Anapenda kulalamika kwenye Bulangeti/shuka Wakati yeye anauwezo wa kuonana Na Rais ama Waziri Husika Tatizo Hapo wala siyo kodi Ni mfumo Mbove Wa Uchumi No Welfare Economy
 
Eric Cartman

Eric Cartman

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Messages
6,818
Points
2,000
Eric Cartman

Eric Cartman

JF-Expert Member
Joined May 21, 2009
6,818 2,000
Hadithi za viwanda kwisha sasa hivi wanauza sura kwenye uzinduzi WA maduka. Ukizimgatia waziri kila uchao alikuwa anapiga debe la kuzuia importation ya vifaa vinavyoweza tengenzwa hapa ni dalili za kushindwa. Viwanda vitakuja kwa TRA ya Leo.
 
A

August

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2007
Messages
5,072
Points
2,000
A

August

JF-Expert Member
Joined Jun 18, 2007
5,072 2,000
Yeye Simbeye anazalisha kitu iwe cha kilimo au kiwandani au ana biashara yeyote akatupa experience yake?
Kuhusu kodi ya wafanya biashara ni corporate tax, na nyingine ni ya vat , sasa ili suala kodi ni vizuri wakawa wanaweka rekodi zao vizuri ya mapato na matumizi. Wengi hawapendi kuweka matumizi na mapato yao halali hivyo kuwapa nafasi tra kuwakadiria au kuwapa data zaidi juu ya mapato yao
 
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
63,921
Points
2,000
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
63,921 2,000
Na hii inatokana na maofisa wengi wa TRA kutokuwahi kufanya biashara yoyote hata ya kuuza mapera .
 
rr3

rr3

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Messages
2,258
Points
2,000
rr3

rr3

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2015
2,258 2,000
The role of the private sector in development
Jonathan Mitchell
2 February 2011
Comment
Amidst the gloom of 2011 it might not be fashionable, but it is important, to be reminded that there has never been a better time to be alive The power of commerce and technology to transform lives has clearly been demonstrated over recent decades and more than 5 billion of the world’s 6.5 bn people are now living in countries that are either already affluent or are developing rapidly in that direction. With the prospect of years of painful restructuring of our economies and expectations in the North and galloping growth in most of the South, it is not fanciful to imagine a world with converging standards of living in what was once the ‘developed’ and ‘developing’ world. We should not be surprised that India today has rather similar socio-economic conditions to those existing in the United States just 80 years ago.


This in no way underplays the significance of the 1.4 bn people who earn less than the international poverty line of US$1.25 dollars a day – neither does it seek to ignore the scandal that nearly one billion people went to bed hungry last night. Organisations like the Overseas Development Institutehave the reduction of poverty at the heart of its mission. The point is, though, that we are now living in a world where less than 20% of the population faces extreme poverty – which is half the share in 1990, so it is important to recognise this historic achievement. The causes of this massive reduction in poverty are many but, surprisingly, most of the heavy lifting has been done by countries that receive relatively little development aid. Looking at countries like China, India and Brazil, it is now fairly clear that a pattern of sustained rapid economic growth that has benefitted the bulk of the population (either directly through the creation of very large numbers of jobs or indirectly through rising tax revenues financing massive social protection payments to poor people) has done the trick.

The development sector has generally been rather slow to recognise the power of the private sector to transform the lives of poor people. However, on 6 January 2011, there was a welcome step forward with the launch of DFID’s private sector department. This new department should be seen as official recognition that the development project involves rather more than a global social service department plus a bit of small business support. Harnessing the power of the private sector to reduce poverty is not an ideological aspiration, it is an empirically-demonstrable fact – ODI has recently strengthened its own private sector programme in recognition of this reality.

The question is how can donors, governments and the corporate sector itself can further enhance the private sector’s contribution to development?

There are two established viewpoints on this, occupying either end of the spectrum. First, that private sector development is inherently developmental and any attempt to intervene in the market to, for instance, improve development impact is misguided (a view represented by commentators such as Ann Berstein). On the flip side, some others in the development community still believe that the private sector produces results which are exploitative and anti-poor. For the record, work by ODI’s private sector programme suggests that both these ideological positions are flawed. Whilst it is critical to appreciate the positive impact of private sector development it is also important to recognise that elitist governments, vested interests and other market and state failures can frustrate the ability of the market to spread the benefits of growth.

Analysing the emerging structure of the DFID department, looking for clues as to the direction of Government thinking, is revealing. There are sections on new business models and ethical trade and public private partnerships (as well as more conventional-sounding sections on investment). There is nothing wrong with working on these topics, and we at ODI have spent several years undertaking research on similar themes. It is also clear that fair trade and corporate social responsibility initiatives have positively changed the lives of many people in the South. However, it is important that we get our story straight from the off-set. The structure of much of the DFID department may inadvertently lend support to the view that the private sector is part of the development problem rather than part of the solution. According to this perspective, only if mainstream business practices change to become more ‘ethical’ and ‘fair’, can the private sector benefit the poor.

This view is remarkably widespread in the development sector and is problematic. Without downplaying the importance of business ethics, the suggestion that the huge steps forward in global poverty reduction have been achieved through ethical trade and new business models is simply not credible. Analysis by ODI suggests that mainstream business can make a much larger contribution to development than many suppose. Similarly, more ‘ethical’ trade and responsible business models often do benefit poor people, but sometimes they do not. The poor tend to gain from the development of competitive and efficient markets and – when they don’t – we know what to do to help the vulnerable benefit from market access.

It is great news that DFID has launched its Private Sector Department. Let’s not allow its effectiveness to be blunted by external observers who would rather base their ideas on yesterdays’ ideologies, than the more uplifting reality, to inform strategies to defeat poverty.Related:
 
Jidu La Mabambasi

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Messages
5,491
Points
2,000
Jidu La Mabambasi

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2014
5,491 2,000
Yeye Simbeye anazalisha kitu iwe cha kilimo au kiwandani au ana biashara yeyote akatupa experience yake?
Kuhusu kodi ya wafanya biashara ni corporate tax, na nyingine ni ya vat , sasa ili suala kodi ni vizuri wakawa wanaweka rekodi zao vizuri ya mapato na matumizi. Wengi hawapendi kuweka matumizi na mapato yao halali hivyo kuwapa nafasi tra kuwakadiria au kuwapa data zaidi juu ya mapato yao
Ulizia leo TRA wstupe data ya makampuni yaliyofungwa.
Mpaka July ilikuwa zaidi ya 7,000.
 
Gamaha

Gamaha

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2008
Messages
2,873
Points
2,000
Gamaha

Gamaha

JF-Expert Member
Joined Jul 17, 2008
2,873 2,000
Aisee! hili ni balaa hali ni mbaya sana ile Posta na Kariakoo ninayoijua wakati ule sio ya sasa! na najaribu kujiuliza kama biashara zimekufa na zinazidi kufa TRA kodi watapata wapi?
kodi ya kichwa inaweza kuludi. wale wazee wenzangu wanajua hii kitu.
 
K

kabombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Messages
21,546
Points
2,000
K

kabombe

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2011
21,546 2,000
Kwani kuna kodi gani ilioongezwa au watu walizoea kutolipa kodi tu
 
Jidu La Mabambasi

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Messages
5,491
Points
2,000
Jidu La Mabambasi

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2014
5,491 2,000
Kwani kuna kodi gani ilioongezwa au watu walizoea kutolipa kodi tu
Tatzo ni Tax Administrstion.
Je wajua kuwa hata wewe uliyekodi chumba, mkataba wa nafikiri 0.1% ya stamp duty, kama hukuiweka, fine yake ni 1000%?
 
PATIGOO

PATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Messages
10,974
Points
2,000
PATIGOO

PATIGOO

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2012
10,974 2,000
Bwana Simbeye kama si kuwashwawashwa basi wewe ni mchochezi.
Sasa tusubirie kauli ya Waziri mwenye dhamana na wizara hiyo Akikanusha hayo huo uchochezi..
Wewe ni mwekezaji ww ndani au unahusika na sekta binafsi
 
P

Phillemon Mikael

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2006
Messages
9,353
Points
2,000
P

Phillemon Mikael

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2006
9,353 2,000
Huyu hajui kua boss wake mengi sahv kama pro Magufulinomics
Mengu hawezi kumuunga mkono Magu kwakuwa anajua fika Magu hampendi
Anamfanyia unafiki tu lakini deep hamkubali
 

Forum statistics

Threads 1,335,862
Members 512,474
Posts 32,518,190
Top