Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete tafadhali ona hili...

Duh, pole sana! Mm shemeji yangu alilazwa pale siku 5 bila kupatiwa hata kidonge mpaka alipofariki. Ilitubidi ss wenyewe tumpelekee tu dawa zake alizokuwa anatumia ili aendelee nazo. Mtu anatatizo la kupumua hata oxygen hakuwekewa. Alifariki usiku, wagonjwa jirani walisema alibanwa sana na pumzi walipiga sana kengele kumwita nesi hakuna aliyetokea mpaka aka collapse. Tuliishia kulipa 700,000/= ya kitanda utafikiri alikuwa kwenye 5 star hotel. Halafu not a wodi hizi za wengi kulipa hizi za watu watatu kwenye chumba peke yenu wote mko hoi wa kumsaidia mwenzie hakuna mnakufa huko chumbani wanawakuta mmekauka. Inauma sana!
 
Bora wodi zile za wengi kwenye li hall.
 
TZ manesi wamekuwa wakilalamikiwa Sana sjui kwanini wausika hawalioni hili nilishawai kwenda kwenye hospital moja ya serikali kwa maskio yangu nilimsikia nesi mmoja anamwambia mwenzie ametumia sindano moja kuwachoma watu wawili kisa tu jamaa alilalamikia huduma mbovu yani anamwambia mwenzie nimemchoma sindano ya moto akafie mbele iliniuma sana nikaziogopa hospital za serikal
 
mi nawashangaa sana manesi yani nikama wamelazimishwa kufanya hiyo kazi na wakati katika watu duniani waliopaswa kuwa na huruma duniani ni manesi ajabu wanaroho mbaya sana...unamwacha mtu yuko CCU na njaa kweli?...una chati? huruma iko wapi
 
Sekta nyeti kama ya afya inahitaji usimamizi mkubwa sana ila tatizo la watanzania wengi tunafanya kazi kwa mazoea sio professionalism, huyo nurse au hao manurse wanaolalamikiwa kama akilazwa ndugu yao au mtu anaemjua utaona utofauti mkubwa sana kwenye huduma, mgonjwa atapewa huduma zote including zisizo za lazima.

Uongozi wa kila taasisi nyeti lazima uweke mikakati ya kudhibiti tabia zilizo nje ya maadili ya kazi maana kumbuka hawa ni wafanyakazi ambao ni watu kama wengine , hivyo wana tabia tofauti tofauti, ukitaka mambo yaende yamenyooka weka utaratibu na uhakikishe unalisimamia hilo. Utakuta mnalalamika sana kumbe hata hao viongozi nao ni majipu.

Tujiulize swali, kwa nini private hospitals zinajitahidi walau kwenye huduma.... wao wameweka utaratibu na wanausimamia, kama huwezi wanakutoa.. hivyo hapo shida ipo kwenye mfumo mzima uliowekwa kwenye taasisi husika.... SYSTEM.
 
TZ manesi wamekuwa wakilalamikiwa Sana sjui kwanini wausika hawalioni hili nilishawai kwenda kwenye hospital moja ya serikali kwa maskio yangu nilimsikia nesi mmoja anamwambia mwenzie ametumia sindano moja kuwachoma watu wawili kisa tu jamaa alilalamikia huduma mbovu yani anamwambia mwenzie nimemchoma sindano ya moto akafie mbele iliniuma sana nikaziogopa hospital za serikal
hii imenitisha zaidi. Tuna manesi wenye roho za shetani.
 
Funny enough hawa manesi walivyo viazi sidhani kama wapo kwenye forums kama za JF ,
Watakuwa wamejazana insta kwa da Mange na kwa Mama sandra
 
Hii taasisi ni kweli sasa hivi huduma ni mbovu sana.
Wameweka walinzi wa nje ndo waamuzi wa kuingia ndani kumuona docta.
Ukiwa mginjwa mara ya kwanza utahangaishwa sana na kusubirishwa siku nzima njee kwenye turubali.
Sasa hivi kazi kubwa inayo fanyika ni kukusanya fedha....kumuona daktari 50.000 elf hamsini na utapangiwa docta mwanafunzi.
Jengine wanalo fanya ni siasa la kuita press wanapo fanya operation za moyo ambazo ukweli huwa wanakuja madaktari wa nje kusaidia.
Taasisi ilikuwa inafanya vizuri sana kwa huduma bora bila kuhangaishwa kwa mgonjwa kabla ya kuingia awamu ya magu.
Sasa hivi ni siasa na kukusanya hela
 
Mambo mengine ni magumu kuyaeleza. Inasemwa Muhimbili kwa sababu ya unyeti wake kiafya, lakini hiyo ni reflection ya nchi nzima. Huyo mkuu unayemwambia inawezakana kweli hajui lakini ina maana management team yote ya hicho kitengo hawajui? Nyakati nyingine huwa mtu unajiuliza hawa wanaofanya hivyo ni wenzetu kweli? Tuoneane huruma jamani! Tunauza viwanja vyetu ili wapendwa wetu tuendelee kuwa nao!
 
Enzi za Dr. Kigwangallah issue ingekuwa ishafanyiwa kazi haraka iwezekanazo.... naamini huko alipo wizara ya maliasili mabadiliko chanya atayafanya....

Pole kwa matatizo yaliyokukuta mleta thread
 
Habari zenu wakuu, Nina masikitiko Makubwa sana, kwa hiki alilochofanyiwa mgonjwa wangu alielazwa katika ward No 1 chumba cha CCU, Critical Care Unit na Manesi, hususani Manesi walioingia zamu kipindi hiki cha sikukuu ya x-mass, mgonjwa yuko pale, anapumulia mashine na chakula analishwa kwa mpira, na anayeruhusiwa kumlisha/kuwalisha ni Manesi tu, cha ajabu unaleta uji, mtori au chochote kile kwa mgonjwa, cha Kushangaza ukirudi asubuhi unakuta chupa ipo vile vile, mgonjwa hajalishwa na mgonjwa anatumia madawa makali, sasa na njaa hiyo inakuwaje..na hakuna mtu yeyote anayeruhusiwa kukaa na mgonjwa ndani mle. Kila ukiingia kumwangalia mgonjwa wako unakuta Manesi wana chart tu na simu zao, hata ukimuita anaweza kuchukua hata nusu saa, mpaka amalize ku chart ndo anyanyuke. Jengo lile lina WiFi ya Bure ya TTCL basi imekuwa kosa, muda wote wao ni ku chart tuuu..
Mkurugenzi mpendwa, kama imewezekana mmezungusha jengo zima CCTV camera inashindikana vipi kuweka CCTV camera kwenye Ward hizi ili kuweza kuona unyanyasaji huu wanaofanyiwa wazazi wetu wagonjwa pale?
Tunatumia garama Kubwa sana kulipia huduma pale, watu tumechangishana mpaka tumeuza viwanjwa vyetu kwa ajili ya kulipia matibabu pale, lakini kwa kweli huduma inayotolewa na Manesi hawa utafikiri wanalazimishwa, au hawalipwi mshahara? Ukweli inauma sana, gharama pale ni Kubwa sana na hata ikatokea bahati mbaya mgonjwa akafariki akiwa anadaiwa matibabu, ni mpaka Deni ndugu walipe ndio mambo Mengine ya endelee. Inauma sana Kwa mnachotufanyia.
Kwa upande wa madaktari sina tatizo nao kabisa, Ukweli madaktari wa pale ni wazuri sana na wanajitahidi sana kwa kweli, tatizo lipo kwa hawa Manesi tu, ambao muda Mwingi wao ni ku chart tuuu WiFi ya Bure. .
Nakuomba sana Mkurugenzi husika angalia hili, sisi wenye wazazi wetu pale tunaumia sana, na tunalipa Pesa nyingi sana pale, tunaomba wagonjwa wetu wapewe stahili yao pale, kama wale Manesi pale hawana wito watoke pale wapo wengi huku uraiani wenye wito hawana kazi. wapewe hiyo nafasi.
Mwisho nakuomba uweke CCTV camera ndani ya hizi ward kuweza kuwabaini. ..
Mheshimiwa Jakaya Kikwete alianzisha Taasisi ile kwa malengo mazuri sana na imesaidia watu wengi kwa kweli kwa nini nyinyi watu wachache msio na wito mtuharibie ? mtoke mpishe wengine msituharibie Taasisi yetu nzuri, na Msiharibu jina la Mheshimiwa Rais Mstaafu .
Naomba Mkurugenzi husika fuatilia hili...
Inauma sana kwa kweli
Pole sana mkuu hii issue rusha kwenye magrouop ya whatsup watu wasambaze ujumbe itawafikia walengwa within few minutes
 
Halafu eti tu-mbwa twa Lumumba tunakuja kupiga vigelegele eti Makofuri ameimarisha utendaji kazi serikalini? Pumbavuuuuuuuu!!!
 
Napata akili kwa nini rafiki yangu daktari alinipa referal ya kwenda Regency instead of muhimbili mzee alipokuwa anaumwa akisisitiza achana na muhimbili
 
Afanyie kazi kwa kuwa ingekuwa imetoka jf

Au alipaswa kufanyia kazi kabla ili wateja wasikutane na kadhia hii???
Enzi za Dr. Kigwangallah issue ingekuwa ishafanyiwa kazi haraka iwezekanazo.... naamini huko alipo wizara ya maliasili mabadiliko chanya atayafanya....

Pole kwa matatizo yaliyokukuta mleta thread
 
Kila word kuna incharg mpelekee hyo malalamiko ikiwa hajachukua hatua nenda jengo la utawala watakusaidia
 
Back
Top Bottom