Huyo ndiye mwanzilishi wa Richmond, msome hapa chini:
RICHMOND PRINTING
Sidhani kama ni mtu mdogo kwenye hili suala. Inabidi watu waelewe kwamba ukitumiwa na wanasiasa, watakuruka siku ya kifo.
Asante kwa link mkuu Mtanzania! Lakini ndo Mohamed huyu alokamatwa? Au ndiye Moh wa US huyu?EXECUTIVE TEAM
Mohamed Gire | Samad Gire | Javeed Gire | Zahoor Gire | Imad Gire
Mohamed Gire
Chief Executive Officer
Mohamed Gire founded Richmond Printing in 1985. Mohamed's unique blend of marketing, operations management and business expertise has led Richmond Printing from a small, family owned business to one of Houston's top design presses.
Mohamed overlooks Richmond's strategic client relations, operational excellence and efficiency in company's supply chain, manufacturing, quality assurance, customer service and finance.
A prominent businessman and an active private investor, Mohamed is actively involved with civic, social and political organizations. He serves on the Mayor's Advisory Board for International Affairs and Development (MABIAD- Africa), and is also one of the founding charter member of The Indus Entrepreneurs (TIE), a global, not-for-profit organization dedicated to the advancement of entrepreneurship.
Ameletwa nchini Mohamed Gire? au yule mdogo wake wa internet cafe aliyoisema Mzee Ndesamburo wakati ule?
Mkuu ile C@fe pale karibu na Riki Hill hotel ni ya hawa ndugu akina Gire?
Ile C@fe ipo nyuma ya Keys hotel ya Ndesambulo.
Bila kumung'unya maneno Mh.Ndesamburo alisema hiyo cafe ni ya akina Gire na aliyekuwa anatajwa kama Director wa Richmond na ambaye alikuwa msemaji mara nyingi akihojiwa na vyombo vya habari ndiye haswa alikuwa mwendeshaji wa shughuli zile.
Ndesamburo anasema alistuka kuona hao vijana waendesha internet cafe hiyo uliyoitaja kuwa ndiyo wamepewa kazi kubwa ya kufua umeme wa dharura wa megawati 100 na serikali ya Tanganyika.
Yeah ni kweli kapandishwa mmoja tu Gille na dhamana imezuiliwa mpaka j3 maana uchunguzi bado unaendelea.
Uchunguzi bado unaendelea!!!
Huu huwa ni msemo wa kimahakama? Swala hili limeundiwa tume, limekaa zaidi ya mwaka, hivi ni kweli uchunguzi bado kukamilika!
Bila shaka EL, NK na IM watafuata kwa matumizi mabaya ya madaraka.