Elections 2010 Mkurugenzi wa NEC atua Ubungo

LUSAJO L.M.

JF-Expert Member
Aug 21, 2007
270
126
Taarifa kutoka Jimbo la Ubungo zinasema kwamba Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Kiravo amefika katika Shule ya Sekondari Loyola na ameruhusu kura zihesabiwe kwa kutumia mfumo wa program ya Excel ili kuharakisha uhesabuji na utoaji wa matokeo.

Mfumo wa Kuhesabu kura ulioletwa na Tume umekuwa ni wa taratibu na... ungeshindwa kutoa matokeo kwa wakati muafaka kwani ulikadiriwa ungeweza kutumia siku zaidi ya mbili kuweza kamilisha shughuli ya kujumlisha matokeo yote.

Tunatarajia kuwa na matokeo kamili ndani ya masaa mawili.
 
Kwani kabala ya hapo walikuwa wanatumia program gani kusum up?
 
yaani excel itoe jumla kwa masaa mawili??? hakyamungu labda siyo excel ninayojua.Hawa watu wanatufanya cc tumejifuza computer leo?? Kama hesabu za kujumlisha zinawashinda TAKUKURU ichunguze ajira zao, kuna kitu hapo
 
Taarifa kutoka Jimbo la Ubungo zinasema kwamba Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Kiravo amefika katika Shule ya Sekondari Loyola na ameruhusu kura zihesabiwe kwa kutumia mfumo wa program ya Excel ili kuharakisha uhesabuji na utoaji wa matokeo.

Mfumo wa Kuhesabu kura ulioletwa na Tume umekuwa ni wa taratibu na... ungeshindwa kutoa matokeo kwa wakati muafaka kwani ulikadiriwa ungeweza kutumia siku zaidi ya mbili kuweza kamilisha shughuli ya kujumlisha matokeo yote.

Tunatarajia kuwa na matokeo kamili ndani ya masaa mawili.

Mnahesabu upya au mnajumlisha zilizoishapigwa? sababu shida ya kuhesabu upya ni kuwa feki zinakuwa zimeishaingizwa. So nilidhani mnatumia nakala kutoka kwa mawakala zilizojazwa jana. Na hapo Mnyika hana mpinzani hilo liko wazi.
 
Wanafanya data entry ya kawaida katika Ms Excel na nadhani kwa kuwa ni namba tu ndio zitakuwa zinainigizwa haitakuwa muda mrefu kabla majibu kamili kupatikana. Tume wanatumia mfumo wa RMS (Results Management System) ambao unakuwa unatumia muda mrefu sana kutokana na either Tume haikujiandaa na kutoa training ya kutosha jinsi huo mfumo unavyofanya kazi au kuwa na mashine ambazo zina uwezo mdogo wa kuprocess data katika mfumo huo.
 
Mnahesabu upya au mnajumlisha zilizoishapigwa? sababu shida ya kuhesabu upya ni kuwa feki zinakuwa zimeishaingizwa. So nilidhani mnatumia nakala kutoka kwa mawakala zilizojazwa jana. Na hapo Mnyika hana mpinzani hilo liko wazi.

Tunafanaya majumuisho ya kila kituo hatuhesabu upya Kamanda.
 
Taarifa kutoka Jimbo la Ubungo zinasema kwamba Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Kiravo amefika katika Shule ya Sekondari Loyola na ameruhusu kura zihesabiwe kwa kutumia mfumo wa program ya Excel ili kuharakisha uhesabuji na utoaji wa matokeo.

Mfumo wa Kuhesabu kura ulioletwa na Tume umekuwa ni wa taratibu na... ungeshindwa kutoa matokeo kwa wakati muafaka kwani ulikadiriwa ungeweza kutumia siku zaidi ya mbili kuweza kamilisha shughuli ya kujumlisha matokeo yote.

Tunatarajia kuwa na matokeo kamili ndani ya masaa mawili.

Kwa anaayejuia Excel au computer ataanguka kwa presha hata kama hakuwa nayo
Huyu Kiravu na wenzake wana shule gani??
Wanatufanya wajinga kabisa hawa CCM na NEC yao
 
Huyo sasa kafika hapo kufanya nini inamaana hakukuwa na mtu hapo, au atadika sehemu ngapi?
Huyu kiravu anajifanya chizi au sisi ni wajinga kabisa!
jamani ndiyo maana wanakodi vitu nje na hali vinapatikana hapahapa, hili la kuhesabu kura kwa excel si kila mtu aliyeenda course ya computer anajua? kwanini wasiwaajiri watu wetu hawa!!
jamani hii nchi inahitaji mabadiliko, hatufiki
 
taarifa kutoka jimbo la ubungo zinasema kwamba mkurugenzi wa tume ya taifa ya uchaguzi bw. Kiravo amefika katika shule ya sekondari loyola na ameruhusu kura zihesabiwe kwa kutumia mfumo wa program ya excel ili kuharakisha uhesabuji na utoaji wa matokeo.

mfumo wa kuhesabu kura ulioletwa na tume umekuwa ni wa taratibu na... Ungeshindwa kutoa matokeo kwa wakati muafaka kwani ulikadiriwa ungeweza kutumia siku zaidi ya mbili kuweza kamilisha shughuli ya kujumlisha matokeo yote.

tunatarajia kuwa na matokeo kamili ndani ya masaa mawili.

peoples power!!!!!!!!!!!!

Ilibidi john mnyika aruhusu gari toyota land cruiser vx ya tume ya uchaguzi iingie katika lango la loyola, kwani wana peoples power walikuwa wamezuia lango kuu hakuna kuingia wala kutoka kwa gari lolote. Ndg rajabu kiravu alipotalka kuteremka na laptop yake wanapeoples power walizuia kuingizwa kwa computere yoyote ininge zaidi ya zile zilizokuwa hapo kabla.

Ilimibidi ndg rajabu kiravu awatii wanapeoples power. Ambapo akakukbushwa mchakamcha wa jkt kwa kuikimbizwa kuingia ndani ya jengo la loyola.

Je ni kwanini wananchi wamekosa imani na mfumo wa kompyuta wa tume ya uchaguzi? Hii ni kutokana na kukosekana kwa maadili kati ya rais jakaya kikwete na viongozi wa tume ya uchaguzi kuruhusu mtoto wa jakaya aitwaye miraji kikwete kuendesha vitendo vya kiharamia vya kikompyuta kiasi cha kuingilia dafatari la kudumu la tume ya uchaguzi kwa njia ya kimtandao kwa nia ya kuchakachua majina ya wapiga kura. Hivyo wananchi wana wasi wasi mkubwa kuwa iwapo tume ya uchaguzi itaachiwa kuendesha zoezi hili la kuingiza matokeo peke yake bila kuhusisha vyama vilivyoshiriki uchaguzi matokeo hayo yatafikishwa kwa miraji kikwete kimtandao na kucahakachuliwa ndipo yatangazwe.
 
Tumeinayoundwa na MAKADA wa CCM haiwezi kuwa huru kamwe... nguvu ya umma inahitajika kama ilivyofanyika huko nyamagana...
 
Taarifa kutoka Jimbo la Ubungo zinasema kwamba Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Kiravo amefika katika Shule ya Sekondari Loyola na ameruhusu kura zihesabiwe kwa kutumia mfumo wa program ya Excel ili kuharakisha uhesabuji na utoaji wa matokeo.

Mfumo wa Kuhesabu kura ulioletwa na Tume umekuwa ni wa taratibu na... ungeshindwa kutoa matokeo kwa wakati muafaka kwani ulikadiriwa ungeweza kutumia siku zaidi ya mbili kuweza kamilisha shughuli ya kujumlisha matokeo yote.

Tunatarajia kuwa na matokeo kamili ndani ya masaa mawili.

Kwani mwanzo walikuwa wanatumia mfumo gani???

Sisi tunajua tangu mwanzo wanatumia mfumo wa IT sasa Kiravu anaposema ameenda Loyola kuwaambia watumie mfumo wa Excel,mimi sielewi ni Excel ipi????
KIRAVU na NEC yake akubali kuwa anataka kuchezea idadi halisi ya matokeo ya awali KUIBEBA CCM.
Yeye kitaaluma ni mwanasheria kwa hiyo hawezi kutushawishi kuwa yeye anaujua mfumo wa kompyuta kuliko wataalamu waliobobea kwenye IT(ICT Engineers).
 
labda walikuwa wametoka na software program ya kwao inayokidhi mahitaji ya NEC ya uchakachuaji. Au labda walikuwa wanajumlisha kwa pen na karatasi karne ya 21
 
its very sad majibu ya kutoka within 8 hrs inachukua cku 2!te te te teh au huyo kiravu kaja hpo kuongezea vocal kny single ya mkwere maana hyo ssa ni studio co kituo cha kuhesabia kura.
Peopppppppppple 2naibiwa jamani we didnt waste our tme on sunday goin to vote walio hpo karibu 2patieni kinachoendelea
 
Kazi kweli kweli excel ndio inawatoa jasho hata mtoto wa darasa la saba aliyesoma kompyuta sasa hivi anajua kuitumia
 
Back
Top Bottom