mwaiser
Member
- Feb 1, 2021
- 14
- 14
Mkurugenzi wa taasisi ya Munazzamat dawa Al islamiya ( MDI) Tanzania Bw. Ally Magoga akishirikiana na board of trustees wapo busy Sana kuitafuta serikali ya Magufuli.
Taasisi hii inamiliki shule za Ununio na Kunduchi girls. Ununio ilifungwa kutokana na ulafi uliokithiri wa viongozi na kupelekea madeni kwa watumishi wake (walimu na wafanyakazi wengine)
Kunduchi girls iliyumba sana miaka miwili iliyopita mpaka pale ilipopata mkuu wa shule mpya aliyeiinua kwa kulazimisha kucontrol bank account as principle signatory.
Mpaka Sasa walimu wa Kunduchi wanaidai taasisi millioni 406,000,000/= ambayo mkurugenzi hataki kuilipa kwa wafanyakazi.
Pamoja na madeni hayo ya walimu, Taasisi iliamua kuikodisha shule kwa IDF (Islamic development foundation) na kumrithisha Deni mpangaji awalipe walimu kidogo kidogo kwa miaka minne (4 yrs) yaani 25% ya deni kwa Kila mwaka. kesi hii iliamriwa na ofisi ya RC ambapo Mkurugenzi akashindwa kisheria kwa kuonekana hajafuata vipengele vyote vya upangishaji kisheria.
Wamerudi kwa njia Ile Ile ya kwanza kwa kumpa shule yule yule mpangaji (Islamic development foundation) akija kwa njia ya kuwa Mkurugenzi wa Elimu wa taasisi ya MDI.
Mkurugenzi wa MDI akishirikiana na Mkurugenzi mpya wa Elimu wa Kunduchi ambaye ndiye aliyetaka kuikodi shule wameamua kuvunja mkataba na mkuu wa shule ya Kunduchi (hajakabidhiwa barua bado) ambaye ndiye aliyekuwa mwiba mchungu kwa wao kufanya biashara ya kukodishana shule bila kufuata taratibu.
Leo tarehe 05/3/2021 Mkurugenzi wa MDI Mr Ally Magoga na Mkurugenzi wa Elimu Mr Kombo kutoka IDF ametangaza kuwaondoa walimu na wafanyakazi wote wa Kunduchi bila kuwapa malipo yao akikaidi amri ya Mkuu wa mkoa ya kuwataka wawalipe kwanza stahiki zao kabla ya kukodisha shule au kuwaondoa kazini.
Board of trustees inayobariki ushenzi huu na kutoa maamuzi yote haya Haina Usajili wa RITA kwani bodi inayotambulika ilikuwa updated Mara ya mwisho mwaka 2017. Kwa hiyo Munazzamat unatumia kundi la wahuni akiwemo Maulid Mtulia (Mbunge mstaafu) kufanya unyang'anyi.
Board of trustees na Mkurugenzi wa MDI wamenyang'anya account kwa mkuu wa shule ( Nakala za barua zipo KCB bank) zinazomtaka Mwenyekiti wa board of trustees kuidhinisha miamala yoyote kitu ambacho ni Kinyume na utaratibu wa kawaida ambapo Mkurugenzi ndiye Mtoa maamuzi wa mwisho
Taasisi hii (MDI) chini ya Mkurugenzi wake na Board of trustees wameonesha dalili za ushiriki wa zaidi ya Mara mbili "kutakatisha fedha" na "kuhujumu uchumi" Kati ya 2018,2019 na 2020. walipokuwa wanalipa madeni ya walimu wa Ununio waliingiza pesa zaidi ya 200 millioni kutoka Nairobi zikiwa ndani ya begi. Zoezi hili lilikuwa engineered na Mkurugenzi wa MDI akishirikiana na wasudan kadhaa waliokuja TZ kufanikisha zoezi Hilo.
Pia Mkurugenzi huyu aliitumia account ya Kunduchi girls Mara kadhaa kufanya miamala kadhaa yenye dalili zote za utakatishaji Mfano ni ule muamala wa zaidi ya millioni 10 ambao Haina majibu ya ilikotoka fedha hiyo pindi alipoulizwa na SMT ya Kunduchi baada ya kuchukua account kutoka kwake.(Bank statement ya account ya Kunduchi girls Ina baadhi ya miamala isiyo na afya ktk kipindi tajwa)
Account za bank za taasisi hii zilifungwa kutokana na kuwa na miamala mikubwa kutoka nje ambayo Haina maelezo yenye kueleweka na ndio maana kuanzia 2016 taasisi hii ipo you bin taaban. Haina uhakika wa kuingiza fedha za kiujanja ujanja Kama zamani.
MDI imekuwa ni taasisi Kinara ya kukwepa Kodi mbali mbali za serikali kiasi ambacho mapato ya serikali yanaishia mikononi mwa wajanja wachache ndani ya MDI (file lililopo RITA Lina maelezo yote)
Pamoja na "Karipio" /"Onyo" kutoka ofisi ya RC juu ya njia wanazotumia ili tu kupora haki za wafanyakazi wake bado Mkurugenzi huyu na board of trustees feki wanajitapa mbele ya wafanyakazi kwamba wao ndio wenye serikali na wanauwezo wa kufanya chochote kwa muda wowote (tegemeo lao kubwa ni baadhi ya masheikh wa BAKWATA walio akaribu na viongozi wa ngazi za juu serikalini)
Taasisi ya IDF (wamiliki wa shule ya Ilala Islamic) Imeonesha ukaribu usio na afya wenye chembe chembe zote za Rushwa kwa MDI na Board of trustees hasa hasa mjumbe Mtulia kushadadia Na kuruhusu IDF wamiliki shule.
Taasisi nyingi za kiislamu zimekuwa ndo njia mdala ya kuingiza fedha chafu kutoka nje kwa mwamvuli wa kutoa misaada. Sheikh Mkuu wa mkoa Dar Alhad Mussa Salum naamini haya unayajua kupitia mfuko wa TESSA (Kama sijakosea spelling).
PCCB na vyombo vingine vya uchunguzi anzieni hapa.