Mkurugenzi wa Munazzamat dawa Al Islamiya unaibipu PCCB

mwaiser

Member
Feb 1, 2021
14
14
Mkurugenzi wa taasisi ya Munazzamat dawa Al islamiya ( MDI) Tanzania Bw. Ally Magoga akishirikiana na board of trustees wapo busy Sana kuitafuta serikali ya Magufuli.

Taasisi hii inamiliki shule za Ununio na Kunduchi girls. Ununio ilifungwa kutokana na ulafi uliokithiri wa viongozi na kupelekea madeni kwa watumishi wake (walimu na wafanyakazi wengine)

Kunduchi girls iliyumba sana miaka miwili iliyopita mpaka pale ilipopata mkuu wa shule mpya aliyeiinua kwa kulazimisha kucontrol bank account as principle signatory.

Mpaka Sasa walimu wa Kunduchi wanaidai taasisi millioni 406,000,000/= ambayo mkurugenzi hataki kuilipa kwa wafanyakazi.

Pamoja na madeni hayo ya walimu, Taasisi iliamua kuikodisha shule kwa IDF (Islamic development foundation) na kumrithisha Deni mpangaji awalipe walimu kidogo kidogo kwa miaka minne (4 yrs) yaani 25% ya deni kwa Kila mwaka. kesi hii iliamriwa na ofisi ya RC ambapo Mkurugenzi akashindwa kisheria kwa kuonekana hajafuata vipengele vyote vya upangishaji kisheria.

Wamerudi kwa njia Ile Ile ya kwanza kwa kumpa shule yule yule mpangaji (Islamic development foundation) akija kwa njia ya kuwa Mkurugenzi wa Elimu wa taasisi ya MDI.

Mkurugenzi wa MDI akishirikiana na Mkurugenzi mpya wa Elimu wa Kunduchi ambaye ndiye aliyetaka kuikodi shule wameamua kuvunja mkataba na mkuu wa shule ya Kunduchi (hajakabidhiwa barua bado) ambaye ndiye aliyekuwa mwiba mchungu kwa wao kufanya biashara ya kukodishana shule bila kufuata taratibu.

Leo tarehe 05/3/2021 Mkurugenzi wa MDI Mr Ally Magoga na Mkurugenzi wa Elimu Mr Kombo kutoka IDF ametangaza kuwaondoa walimu na wafanyakazi wote wa Kunduchi bila kuwapa malipo yao akikaidi amri ya Mkuu wa mkoa ya kuwataka wawalipe kwanza stahiki zao kabla ya kukodisha shule au kuwaondoa kazini.

Board of trustees inayobariki ushenzi huu na kutoa maamuzi yote haya Haina Usajili wa RITA kwani bodi inayotambulika ilikuwa updated Mara ya mwisho mwaka 2017. Kwa hiyo Munazzamat unatumia kundi la wahuni akiwemo Maulid Mtulia (Mbunge mstaafu) kufanya unyang'anyi.

Board of trustees na Mkurugenzi wa MDI wamenyang'anya account kwa mkuu wa shule ( Nakala za barua zipo KCB bank) zinazomtaka Mwenyekiti wa board of trustees kuidhinisha miamala yoyote kitu ambacho ni Kinyume na utaratibu wa kawaida ambapo Mkurugenzi ndiye Mtoa maamuzi wa mwisho

Taasisi hii (MDI) chini ya Mkurugenzi wake na Board of trustees wameonesha dalili za ushiriki wa zaidi ya Mara mbili "kutakatisha fedha" na "kuhujumu uchumi" Kati ya 2018,2019 na 2020. walipokuwa wanalipa madeni ya walimu wa Ununio waliingiza pesa zaidi ya 200 millioni kutoka Nairobi zikiwa ndani ya begi. Zoezi hili lilikuwa engineered na Mkurugenzi wa MDI akishirikiana na wasudan kadhaa waliokuja TZ kufanikisha zoezi Hilo.

Pia Mkurugenzi huyu aliitumia account ya Kunduchi girls Mara kadhaa kufanya miamala kadhaa yenye dalili zote za utakatishaji Mfano ni ule muamala wa zaidi ya millioni 10 ambao Haina majibu ya ilikotoka fedha hiyo pindi alipoulizwa na SMT ya Kunduchi baada ya kuchukua account kutoka kwake.(Bank statement ya account ya Kunduchi girls Ina baadhi ya miamala isiyo na afya ktk kipindi tajwa)

Account za bank za taasisi hii zilifungwa kutokana na kuwa na miamala mikubwa kutoka nje ambayo Haina maelezo yenye kueleweka na ndio maana kuanzia 2016 taasisi hii ipo you bin taaban. Haina uhakika wa kuingiza fedha za kiujanja ujanja Kama zamani.

MDI imekuwa ni taasisi Kinara ya kukwepa Kodi mbali mbali za serikali kiasi ambacho mapato ya serikali yanaishia mikononi mwa wajanja wachache ndani ya MDI (file lililopo RITA Lina maelezo yote)

Pamoja na "Karipio" /"Onyo" kutoka ofisi ya RC juu ya njia wanazotumia ili tu kupora haki za wafanyakazi wake bado Mkurugenzi huyu na board of trustees feki wanajitapa mbele ya wafanyakazi kwamba wao ndio wenye serikali na wanauwezo wa kufanya chochote kwa muda wowote (tegemeo lao kubwa ni baadhi ya masheikh wa BAKWATA walio akaribu na viongozi wa ngazi za juu serikalini)

Taasisi ya IDF (wamiliki wa shule ya Ilala Islamic) Imeonesha ukaribu usio na afya wenye chembe chembe zote za Rushwa kwa MDI na Board of trustees hasa hasa mjumbe Mtulia kushadadia Na kuruhusu IDF wamiliki shule.

Taasisi nyingi za kiislamu zimekuwa ndo njia mdala ya kuingiza fedha chafu kutoka nje kwa mwamvuli wa kutoa misaada. Sheikh Mkuu wa mkoa Dar Alhad Mussa Salum naamini haya unayajua kupitia mfuko wa TESSA (Kama sijakosea spelling).

PCCB na vyombo vingine vya uchunguzi anzieni hapa.
 
Mhm mbona watu sio waoga pamoja na utumbuaji wa majipu unaoendelea
 
Brother umeleza vizuri Sana hii storii na mim nawajuwa vzuri Sana Hawa watu waligaji tu washatupiga Sana wanafunzi wanaoenda sudani mbuzi Sana
 
naanza kuelewa yale matukio ya moto kwenye hizi shule "kuna mtu alirukwa" ama wameharibu wenyewe ili "waingiziwe pesa za matengenezo"...thinking out loud
 
Mkurugenzi wa taasisi ya Munazzamat dawa Al islamiya ( MDI) Tanzania Bw. Ally Magoga akishirikiana na board of trustees wapo busy Sana kuitafuta serikali ya Magufuli.

Taasisi hii inamiliki shule za Ununio na Kunduchi girls. Ununio ilifungwa kutokana na ulafi uliokithiri wa viongozi na kupelekea madeni kwa watumishi wake (walimu na wafanyakazi wengine)

Kunduchi girls iliyumba sana miaka miwili iliyopita mpaka pale ilipopata mkuu wa shule mpya aliyeiinua kwa kulazimisha kucontrol bank account as principle signatory.

Mpaka Sasa walimu wa Kunduchi wanaidai taasisi millioni 406,000,000/= ambayo mkurugenzi hataki kuilipa kwa wafanyakazi.

Pamoja na madeni hayo ya walimu, Taasisi iliamua kuikodisha shule kwa IDF (Islamic development foundation) na kumrithisha Deni mpangaji awalipe walimu kidogo kidogo kwa miaka minne (4 yrs) yaani 25% ya deni kwa Kila mwaka. kesi hii iliamriwa na ofisi ya RC ambapo Mkurugenzi akashindwa kisheria kwa kuonekana hajafuata vipengele vyote vya upangishaji kisheria.

Wamerudi kwa njia Ile Ile ya kwanza kwa kumpa shule yule yule mpangaji (Islamic development foundation) akija kwa njia ya kuwa Mkurugenzi wa Elimu wa taasisi ya MDI.

Mkurugenzi wa MDI akishirikiana na Mkurugenzi mpya wa Elimu wa Kunduchi ambaye ndiye aliyetaka kuikodi shule wameamua kumsimamisha kazi mkuu wa shule ya Kunduchi na kumpa Mkurugenzi wa IDF Mr Mwinyikombo Ayubu nafasi hiyo. Mkuu wa shule aliyetolewa ndiye aliyekuwa mwiba mchungu kwa wao kufanya biashara ya kukodishana shule bila kufuata taratibu.

Tarehe 05/3/2021 Mkurugenzi wa MDI Mr Ally Magoga na Mkurugenzi wa Elimu Mr Kombo kutoka IDF ametangaza kuwaondoa walimu na wafanyakazi wote wa Kunduchi bila kuwapa malipo yao akikaidi amri ya Mkuu wa mkoa ya kuwataka wawalipe kwanza stahiki zao kabla ya kukodisha shule au kuwaondoa kazini.

Tarehe 06/3/ 2021 usiku kuanzia saa 2 usiku mpaka saa 7 usiku wanafunzi wa Kunduchi wamefanya mgomo kukataa Mr Mwinyikombo kuwa mkuu wa shule kwa kuwa wanafahamu jinsi anavyoua Elimu Mfano ni shule za Qiblatein, Neruka na Muzzdalifa.

Board of trustees inayobariki ushenzi huu na kutoa maamuzi yote haya Haina Usajili wa RITA kwani bodi inayotambulika ilikuwa updated Mara ya mwisho mwaka 2017. Kwa hiyo Munazzamat unatumia kundi la wahuni akiwemo Maulid Mtulia (Mbunge mstaafu) kufanya unyang'anyi.

Board of trustees na Mkurugenzi wa MDI wamenyang'anya account kwa mkuu wa shule ( Nakala za barua zipo KCB bank) zinazomtaka Mwenyekiti wa board of trustees kuidhinisha miamala yoyote kitu ambacho ni Kinyume na utaratibu wa kawaida ambapo Mkurugenzi ndiye Mtoa maamuzi wa mwisho

Taasisi hii (MDI) chini ya Mkurugenzi wake na Board of trustees wameonesha dalili za ushiriki wa zaidi ya Mara mbili "kutakatisha fedha" na "kuhujumu uchumi" Kati ya 2018,2019 na 2020. walipokuwa wanalipa madeni ya walimu wa Ununio waliingiza pesa zaidi ya 200 millioni kutoka Nairobi zikiwa ndani ya begi. Zoezi hili lilikuwa engineered na Mkurugenzi wa MDI akishirikiana na wasudan kadhaa waliokuja TZ kufanikisha zoezi Hilo.

Pia Mkurugenzi huyu aliitumia account ya Kunduchi girls Mara kadhaa kufanya miamala kadhaa yenye dalili zote za utakatishaji Mfano ni ule muamala wa zaidi ya millioni 10 ambao Haina majibu ya ilikotoka fedha hiyo pindi alipoulizwa na SMT ya Kunduchi baada ya kuchukua account kutoka kwake.(Bank statement ya account ya Kunduchi girls Ina baadhi ya miamala isiyo na afya ktk kipindi tajwa)

Account za bank za taasisi hii zilifungwa kutokana na kuwa na miamala mikubwa kutoka nje ambayo Haina maelezo yenye kueleweka na ndio maana kuanzia 2016 taasisi hii ipo you bin taaban. Haina uhakika wa kuingiza fedha za kiujanja ujanja Kama zamani.

MDI imekuwa ni taasisi Kinara ya kukwepa Kodi mbali mbali za serikali kiasi ambacho mapato ya serikali yanaishia mikononi mwa wajanja wachache ndani ya MDI (file lililopo RITA Lina maelezo yote)

Pamoja na "Karipio" /"Onyo" kutoka ofisi ya RC juu ya njia wanazotumia ili tu kupora haki za wafanyakazi wake bado Mkurugenzi huyu na board of trustees feki wanajitapa mbele ya wafanyakazi kwamba wao ndio wenye serikali na wanauwezo wa kufanya chochote kwa muda wowote (tegemeo lao kubwa ni baadhi ya masheikh wa BAKWATA walio akaribu na viongozi wa ngazi za juu serikalini)

Taasisi ya IDF (wamiliki wa shule ya Ilala Islamic) Imeonesha ukaribu usio na afya wenye chembe chembe zote za Rushwa kwa MDI na Board of trustees hasa hasa mjumbe Mtulia kushadadia Na kuruhusu IDF wamiliki shule.

Taasisi nyingi za kiislamu zimekuwa ndo njia mdala ya kuingiza fedha chafu kutoka nje kwa mwamvuli wa kutoa misaada. Sheikh Mkuu wa mkoa Dar Alhad Mussa Salum naamini haya unayajua kupitia mfuko wa TESSA (Kama sijakosea spelling).

PCCB na vyombo vingine vya uchunguzi anzieni hapa.
 
Hii ni vita tu ya kugombea madaraka. Hakuna lingine. Kuna kila dalili mtoa mada ni mmoja ya hao walio nyang'anywa tonge mdomoni.

Ni vyema mkamalizana tu wenyewe huko huko. Poleni sana. Usawa huu kuishi bila ajira huku ukiwa hujajiandaa, hakika utatembea njia nzima ukijisemea tu peke yako Takbiir Takbiiir!!
 
Shule za kiislam nying n Chaka la upigaj kutokana na pesa chafu ya mafuta kutoka uajem na nchi nyingine za ghuba

Shule zao hazifanyi vzur zpo zpo tu kuzalisha sifuri nyiingi

Kuna shule ipo hapa tandika inaitwa maarifa islamic mwaka Jana ilikuwa na watahiniiwa 6 kidato cha nne kat ya hao 4 n watoto wa mashekhe wenye vinasaba na umilik wa shule hiyo hivyo hawalipi ada wanafunz wawil ndio wanalipa ada unategemea pesa hyo itatosha kulipa. Mishahara kuhudumia mizuzu ( ndevu ) na matumiz mengine ?

Waislamu Wana taasisi chungu nzima zinazomiliki shule kwann wasiungane Kama Shia wawe na shule zao hivyo hvyo sun nao wawe na zao kuliko huu utitir wa umilik ambao tija n ndogo Zaid ya kuongeza sifuri kwenye matokeo

Mejiment zao n za hovyo sana wengi wao shule n muhal lakn wanataka nyadhfa znazohtaj elimu ya kutosha mtu akishakariri msahafu bas anaona anaweza ongoza chochote

Sasa hata waislamu wenyewe wameghair kusomesha watoto kwenye shule hz ukifuatilia shule hz znawanafunz wachache sana hvyo makusanyo ya ada pia n madogo wanabak kuzungukana wao kwa wao mfadhir toka uajem akituma pesa bas hapo lazma mtu aachishwe kaz ili upigaji uanze

Huyu MWINYIKOMBO NAMJUA SANA NISHAWAHI ONANA NAYE MTWARA KWENYE SEMINA MOJA N MPIGAJI TU KAMA WENGINE
 
Shule za kiislam nying n Chaka la upigaj kutokana na pesa chafu ya mafuta kutoka uajem na nchi nyingine za ghuba..
Zipo seminari nyingi zinazofaulisha vizuri sana hivyo tathmini yako ni batili, jitahidi upunguze chuki maana ndio kinachokusumbua sio kingine,

Pili shule zote za kiislam haziwezi kuwa chini ya taasisi moja sababu ya management, serikali yenyewe licha ya kuwa na resources zote bado ina struggle ku-manage shule zake zote,

Kama shule inadaiwa basi walipe fedha za walimu kama wakishundwa sheria ifuate mkondo wake, na kama kuna maswala mengine ya kutakatisha fedha basi yafikishwe sehemu husika ila shule ibakie kwa wamiliki wake halali maana kwa hoja ya mtoa mada anatamani hata shule itaifishwe kwa hilo deni la millioni 200 kitu ambacho sio sawa
 
Zipo seminari nyingi zinazofaulisha vizuri sana hivyo tathmini yako ni batili, jitahidi upunguze chuki maana ndio kinachokusumbua sio kingine,..
Zitaje hapa? Mbona kwy matokeo izo shule hazionekani?

Usibishe vitu kwa hisia tumia nguvu ya hoja ili msaidiwe sio kupanic,najua ninachosema hamna kitu muda mwingi ni masomo ya Dini mfn Kuna Islamic knowledge,Arabic language na lingine nimesahau simply westing of time ,waalimu hawana uwezo wamesoma diploma apo alharamaini hawana uwezo kabisa wa kufundisha content za masomo mengine kama Chemistry,Physics ,Math nk.
 
Kuhusu suala la management nakubaliana na wewe, pia kingine shule za kiislam zinafelisha sana mana wana itiqad kua si vema kuwaacha watoto mtaani hivyo hata mchujo wao katika interview sio mkali ( kuna huruma nyingi). Kuhusu sualala kua walimu wamesoma alharamain hivyo hawana uwezo hilo nakataa, wenye degree ni wengi tu, sema kwa shule za upigaji wanachukua walimu wa level ya chini ili wawalipe kidogo.
 
Zipo seminari nyingi zinazofaulisha vizuri sana hivyo tathmini yako ni batili, jitahidi upunguze chuki maana ndio kinachokusumbua sio kingine,

Pili shule zote za kiislam haziwezi kuwa chini ya taasisi moja sababu ya management, serikali yenyewe licha ya kuwa na resources zote bado ina struggle ku-manage shule zake zote,

Kama shule inadaiwa basi walipe fedha za walimu kama wakishundwa sheria ifuate mkondo wake, na kama kuna maswala mengine ya kutakatisha fedha basi yafikishwe sehemu husika ila shule ibakie kwa wamiliki wake halali maana kwa hoja ya mtoa mada anatamani hata shule itaifishwe kwa hilo deni la millioni 200 kitu ambacho sio sawa
Hebu zitaje hizo shule zinazofaulisha mkuu?
Kila mwaka necta wakitangaza matokeo shule kumi za mwisho huzikos 2 au 3 tunaongea kwa reference mkuu

Wengi wenu mnazan feza na Ahmes schools mnahis n shule za kiislam kwakuwa mmiliki wake FETULAH GUIELEIN n mturuki na muislam

Angalia shule hiz za dini nyingne huzikosi top ten iwe kidato cha nne au sita

St Francis mbeya
St Mary's mazinde juu
Marian girls
Marian boys
Canosa
Bethel sabs

Shule kumi za mwisho kwa miaka 5 had Sasa

Kiembe samaki A Islamic ACSEE 2020
Njelekela Islamic CSEE 2015
Istuqama Islamic

Angalia hapo halafu tetea hoja yako kwa fact
 
Kama Ahmes na Feza sio shule za kiislam basi na hizo St Fransis na Mazinde sio za kikiristu, sababu hakuna inayomilikiwa na kanisa wala jimbo
 
Zitaje hapa? Mbona kwy matokeo izo shule hazionekani?

Usibishe vitu kwa hisia tumia nguvu ya hoja ili msaidiwe sio kupanic,najua ninachosema hamna kitu muda mwingi ni masomo ya Dini mfn Kuna Islamic knowledge,Arabic language na lingine nimesahau simply westing of time ,waalimu hawana uwezo wamesoma diploma apo alharamaini hawana uwezo kabisa wa kufundisha content za masomo mengine kama Chemistry,Physics ,Math nk.
Hizo shule mbili za moshi tu
IMG_20210308_002006_987.JPG
View attachment 1719830View attachment 1719831
 
Shule za kiislam nying n Chaka la upigaj kutokana na pesa chafu ya mafuta kutoka uajem na nchi nyingine za ghuba

Shule zao hazifanyi vzur zpo zpo tu kuzalisha sifuri nyiingi

Kuna shule ipo hapa tandika inaitwa maarifa islamic mwaka Jana ilikuwa na watahiniiwa 6 kidato cha nne kat ya hao 4 n watoto wa mashekhe wenye vinasaba na umilik wa shule hiyo hivyo hawalipi ada wanafunz wawil ndio wanalipa ada unategemea pesa hyo itatosha kulipa. Mishahara kuhudumia mizuzu ( ndevu ) na matumiz mengine ?

Waislamu Wana taasisi chungu nzima zinazomiliki shule kwann wasiungane Kama Shia wawe na shule zao hivyo hvyo sun nao wawe na zao kuliko huu utitir wa umilik ambao tija n ndogo Zaid ya kuongeza sifuri kwenye matokeo

Mejiment zao n za hovyo sana wengi wao shule n muhal lakn wanataka nyadhfa znazohtaj elimu ya kutosha mtu akishakariri msahafu bas anaona anaweza ongoza chochote

Sasa hata waislamu wenyewe wameghair kusomesha watoto kwenye shule hz ukifuatilia shule hz znawanafunz wachache sana hvyo makusanyo ya ada pia n madogo wanabak kuzungukana wao kwa wao mfadhir toka uajem akituma pesa bas hapo lazma mtu aachishwe kaz ili upigaji uanze

Huyu MWINYIKOMBO NAMJUA SANA NISHAWAHI ONANA NAYE MTWARA KWENYE SEMINA MOJA N MPIGAJI TU KAMA WENGINE
😂😂😂😂 Peramiho yetu
 
Zipo seminari nyingi zinazofaulisha vizuri sana hivyo tathmini yako ni batili, jitahidi upunguze chuki maana ndio kinachokusumbua sio kingine,

Pili shule zote za kiislam haziwezi kuwa chini ya taasisi moja sababu ya management, serikali yenyewe licha ya kuwa na resources zote bado ina struggle ku-manage shule zake zote,

Kama shule inadaiwa basi walipe fedha za walimu kama wakishundwa sheria ifuate mkondo wake, na kama kuna maswala mengine ya kutakatisha fedha basi yafikishwe sehemu husika ila shule ibakie kwa wamiliki wake halali maana kwa hoja ya mtoa mada anatamani hata shule itaifishwe kwa hilo deni la millioni 200 kitu ambacho sio sawa
Wakati mwingine inabidi ukubali ukweli ili usaidiwe
 
Back
Top Bottom