Mkurugenzi wa Mipango, Ufuatiliaji na Tathimini wa TAKUKURU anayekabiliwa na kesi ya utakatishaji fedha aandika barua kwa DPP kukiri makosa

Waislamu kuweni na huruma huyo mama Yaani mahakamani yuko peke yake kama yatima hana ndugu au mtoto wa kumzaa?
Wanaogopa watasakamwa wote.

Ni heri afilisiwe mmoja kuliko ukoo mzima.

Kama alifanya makosa ndiyo ajielewe na apate fundisho. Moja katika makosa makubwa kwenye mafundisho ya Uislam ni ufisadi.

Atubu sana kwa Allah na asirudie.
 
Nimekukubali wewe kwa hiyo unataka kwa hukumu ya kiislamu ahukumiwaje baada ya kukiri kosa.Kurani imeagiza nini?
 
Back
Top Bottom