Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke aache kutisha na kufedhehesha Waandishi wa Habari

Sio kweli huyo jamaa pesa anayokitambo tu na sio mtu wa njaa sema Ni amezaliwa hivyo Ni mtu mpenda sifa na utani wa hapa na pale .

Namjua kwa kias chake coz tunatoka sehem moja huko Budokelo -Mbeya .

Kwanza jamaa wanadai Ni kitengo.

Pia huyu jamaa kudhihirisha kuwa hana njaa huko kijijin kwao amejenga bonge moja la bangaloo Ni hatar na nusu .

So elewa jamaa hana njaa kabisa wala hawez kulewa kamshahara ka Uded so uelewe jamaa ndivyo alivyo zaliwa ,utani mwingi ,vituko vya hapa na pale ,sifa za hapa na pale ,pia Ni mtu wa watu sana hana shida.
Ni mpumbavu amelewa madaraka na ndivyo ccm inavyowalea watendaji wa serikali wana jeuri vituko vitisho rejea ndungai mahanga dpp sasa huyo mwakibibi uko kwenye ofisi ya umma unalishwa kwa kodi za wananchi including huyo mwandishi harafu anasema hana hadhi amuambia Joyce Mhaville mpigie stupid madingo
 
Sio kweli huyo jamaa pesa anayokitambo tu na sio mtu wa njaa sema Ni amezaliwa hivyo Ni mtu mpenda sifa na utani wa hapa na pale .

Namjua kwa kias chake coz tunatoka sehem moja huko Budokelo -Mbeya .

Kwanza jamaa wanadai Ni kitengo.

Pia huyu jamaa kudhihirisha kuwa hana njaa huko kijijin kwao amejenga bonge moja la bangaloo Ni hatar na nusu .

So elewa jamaa hana njaa kabisa wala hawez kulewa kamshahara ka Uded so uelewe jamaa ndivyo alivyo zaliwa ,utani mwingi ,vituko vya hapa na pale ,sifa za hapa na pale ,pia Ni mtu wa watu sana hana shida.
Ni mpumbavu amelewa madaraka na ndivyo ccm inavyowalea watendaji wa serikali wana jeuri vituko vitisho rejea ndungai maganga dpp sasa huyo mwakibibi uko kwenye ofisi ya umma unalishwa kwa kodi za wananchi including huyo mwandishi harafu anasema hana hadhi amuambia Joyce Mhaville mpigie stupid madingo
 
Jana wakati nafuatilia taarifa ya habari ITV saa mbili usiku niliona mgogoro ulipo katika kiwanja mojawapo kilichopo Yombo wilaya ya Temeke lakini wakati mwandishi wa habari anatafuta ukweli wa jambo hilo alipojaribu kumpigia simu Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke ajulikanaye kwa jina la Lusubilo Mwakabibi nataka ufafanuzi wa mgogoro huo kwa kuomba nafasi ya kuonana naye ofisi kwake aliishia kujibiwa kuwa huyo mwandishi hana hadhi ya kuonana naye! Swali ni je wenye hadhi ya kuonana na viongozi hawa ni waandishi wa namna gani?
Bado wengine hawajakunjua makucha...
Nidhamu ya woga iliyovitawala vyombo vya habari ndio zao la haya matukio...
 
Kwanza huyo Mwandishi wa Habari ana Diploma kama sheria inavyotaka au nayeye ni Fom Foo Feriaaa! Huyo mwandishi uchwara anatafuta Kick tu hapa Mjini, kwanj huyo DED ndiye wa kwanza kumjibu mbovu.
Acheni upumbavu mnaoshabikia Wenzenu kuharibikiwa kazini, Roho mbaya na Umaskini unatusumbua hatuna lolote sura zetu kama roho zetu, kuna watu wanatoka mishipa nyuma ya Keybod ili tu Lusubilo atumbuliwe. Tumegeuka kuwa mijitu michawi ya roho, kutwa kucha kuombeana Njaa na dua mbayaa tu. Juzi tu Walimu wamepewa ajira nyuzi za chuki na kuharibiana kazi zilitawala Utadhan waliopewa ajira ni Wazulu wa SA kumbe watoto wa Kitanzania. Mama..eee zenu punguzeni Uchawi, Maisha yako hayaji kuwa mazuri kisa tu Unapambana kumshusha Fulani roho yako isuuuzike. Tufanye kazi, tuache majungu na Roho za kichawi.
 
Back
Top Bottom