Mkurugenzi wa manispaa ya Ilala ni jipu lililoiva

Mzee Mchopu

JF-Expert Member
Sep 24, 2014
1,031
268
Wanabodi
Sina budi kulieleza hili kiunaga ubaga
Kwa kile kinachoonekana ni mazingira ya kununua madiwan
Au kutengeneza mkakati haramu kwa Chama cha mapinduzi kushirikiana na Baadhi ya watendaji wasio waaminifu kama huyu mkurugenzi
Ambae binafsi namuona ni jipu lililoiva

Jana niliripoti uchaguzi wa kumpata meya na naibu meya wa manispaa ya ilala kuahirishwa

Na sasa leo hii kwa mara nyingine ameuhairisha uchaguzi wa kumpata meya wa ILALA na mbaya zaidi hajatoa tarehe nyingine muakada kwa ajili ya kufanyab uchaguzi huo

Na wale wasojua

Manispaa ya ILALA INA MADIWANI 66

CCM =31

CHADEMA =28

CUF=07

BADO SJAJUA HOFU YAO CCM inatoka wapi

Au ni tukio gani wamelipanga lifanyike ama eidha kupoka haki ya UKAWA

My take

WAZIRI MKUU LIONE HILI KAMA NI TATIZO la kiuongozi

Lishughulikiwe mapema
Kazi ianze wananchi tuna mategemeo makubwa toka kwa wale tulowachagu

Wasikwamishwe
Tuliridhia mfumo wa vyama vingi
 
Majipu ni wale wanaolazimisha kura ya wazi, waacheni madiwani wachague wanayemwona atafaa kuwa Meya bila shinikizo.
 
Back
Top Bottom