Musoma Yetu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2016
- 2,633
- 2,297
Mkurugenzi wa manispaa musoma, Dr. Khalfan B. Haule yasemekana adaiwa kughushi vyeti vya PhD. Kumekuwa na uvumi huu kwa muda mrefu, na tayari TAKUKURU musoma wamefika kwa uchunguzi baada ya mhusika kuhojiwa. Kwa uchunguzi mdogo ni kwamba hata uki Google Jina lake hupati hata chuo alichosoma wala cv yake.
Hizi tuhuma ni nzito maana kughushi bila shaka ni kosa la jinai, na anasaini kwenye document za serikali kama Dr. Ili kupima dhamira ya serikali ktk kile kinachoitwa kutumbua majipu, Takukuru tunaomba uchunguzi wenu uchukue hatua stahiki au yeye mwenyewe ajiuzulu nafasi hiyo mapema kama alivyofanya Mkurugenzi wa NACTE.