Mkurugenzi wa kinondoni; bajeti ya vinywaji million 8, magazeti millio 5 tutafika? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkurugenzi wa kinondoni; bajeti ya vinywaji million 8, magazeti millio 5 tutafika?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, May 5, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,771
  Trophy Points: 280
  Kwa hali isiyokuwa ya kawaida jana kuna diwan mmoja wa chadema alikuwa analalamika na kudai anashangaa watu wanapeleka hela nyingi kwenye bajeti za mambo yasiyo namaana wakati vitu muhimu avifanyiwi kazi...akasema utashangaa ofisi ya Mkurugenzi wa kinondoni anapangiwa vinywaji million 8;;bajeti ya magazeti million 5...wapendwa niliomba nikakojoe kwanza ...nimefikiria maximum ya magazeti tulionayo ni 7 * 700 =4900 tzs haya ni yake tufanye na msaidizi wake

  4900 *31 = 151,900 *12 =1,822,800 *2 = 3,645,600

  jamani hizi pesa zinatokea kwa watanzaniana kodi zao ama kuna kisima cha fedha pale hazina ??
   
 2. F

  Froida JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,903
  Likes Received: 1,330
  Trophy Points: 280
  Kinondoni yenye Meya kijana na Msomi lakini kesha tumbukizwa kwenye shimo la wanaokataa kujivua magamba miaka mitano itapita tukiangalia vinyesi vikielea,machinga wakiongezeka mara tatu,mashimo barabarani,shuleni wakiendelea kukaa chini,biashara ya vichanga vilivyokufa ikishamiri mwanayamala,hakuna jipya kabisa
   
 3. L

  Laura Mkaju Senior Member

  #3
  May 5, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Niliitazama ikanisikitisha sana, kumbe bado kuna kazi ya kujivua magamba.
   
 4. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #4
  May 5, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Hivyo ndivyo vipaumbele vya ccm!
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  May 5, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,771
  Trophy Points: 280
  laura ni ndefu kazi kubwa mbele inatunyemelea ma dia sijui tutawaondoaje mi nahisi wakina gwajima,, rwakatare ,,mzee wa efwata wafike stage waachane na maubiri ya samunge wapige maombi hii serikali kuanzia shina mtaa mpaka mwisho.....yaani ni aibu huko manispaa ndio maana niliomba thread moja cag aachane na hayo afwatilie yale aliosema yamefanyiwa kazi kama anaendelea kutangaza atufurahishi sisi anatuumiza tu na wengine kuamua kuwa wezi na majambazi kuliko kuona watu wanasaini mabilion
   
 6. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #6
  May 5, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  hawa ni vichaa kabisa wa kutafuna pesa.


   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  May 5, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Jamani, Nape amesema atarudisha heshima ya nchi!..Tuwe na subra!
   
 8. L

  LAT JF-Expert Member

  #8
  May 5, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  hivi vitafunwa ni nini haswa....?
   
 9. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #9
  May 5, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hayo magazeti anayasoma yeye kwa faida ya wilaya au kwa faida yake? Ni magazeti mangapi kwa idadi? Na vinywaji hivyo ni kwa ajili ya kukirimu wageni wa ofisi yake au wa nyumbani kwake? Kama ni wageni wa ofisi kwanini awakirimu, kwani hawana bajeti zao walikotoka?
   
 10. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #10
  May 5, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,793
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Waangalie mfano moshi mjini hakuna mtoto kukosa shule kisa ada wameshalipiwa wote!vitafunwa atapikiwa na mkewe
   
 11. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #11
  May 5, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  ukiende kwenye details utakuta na budget ya uji wa ulezi na chapati...mapka toothpick wanaweka wakati kwetu kule iringa ukimaliza kula unabanjua kakijiti kwenye kuni zilizoko jikoni mamabo safi yanaendelea
   
 12. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #12
  May 5, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,645
  Likes Received: 1,437
  Trophy Points: 280
  mkurugenzi anatekeleza sera za jembe na nyundo...
   
 13. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #13
  May 5, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,645
  Likes Received: 1,437
  Trophy Points: 280
  ha ha ha ha ha ha ha nyie watu mnafurahisha sana aisee, ila mkuu hii nchi inahitaji overhaul ya kufa mtu

  hizi siasa za kujivua gamba ni uhuni wa kitoto kabisa
   
 14. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #14
  May 5, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,645
  Likes Received: 1,437
  Trophy Points: 280
  mkate uliopakwa siagi, maandazi, vitumbua nk Lolz:lol:
   
 15. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #15
  May 5, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  karibu halmashauri zote ni akina Ponda mali kufa kwaja
   
 16. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #16
  May 5, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kuna rafiki yangu mmoja nilishawahi kumwambia kuwa bongo si masikini tatizo ni kila tunayempa nafasi anakuwa mwizi na hana huruma na wabongo masikini ila anakuwa na uchu wa kutaka kujitajirisha tu akakataa!! Sasa hapo ni wazi kuwa nusu ya hizo hela walizotenga wanachukua wao ambazo zingeweza kuweka madawati kwenye shule za msingi.. Na hapa ni sehemu moja tu, je kule kwenye miradi yenyewe si ndio madudu matupu... Hii inauma sana kwani hata mkuu wa kaya anayajua haya... Unless tumewatoa hawa jamaa hatutokaa tuendelee kamwe kwa wizi huu wa wazi!!!
   
 17. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #17
  May 5, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Hivyo ndo vipau mbele vya serikali ya CCM tumbo kwanza wananchi baadae wao wakishiba
   
 18. s

  salisalum JF-Expert Member

  #18
  May 5, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 379
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Naendaga kwenye ofisi ya huyo meya wala sijawahi kuona gazeti wala mtoto wake na chai. Udogo wa mawazo, kila siku wanafikiria kula. Nijukumu la madiwani na wabunge waadilifu kutupatia hizi habari kwa undani ili tuwashughulikie hawa wezi.

  Habari ni muhimu sana zikiwafikia wananchi.
   
Loading...