Mkurugenzi wa jiji Arusha azuia waandishi wasirekodi matukio

Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dk John Pima, kupitia afisa habari wake Mary Mwita, amekuwa mtu wa kwanza kuwawekea vikwazo waandishi wa habari kwa kuwazuia wasirekodi kitu chochote katika baraza la madiwani jijini humo.

Kupitia kwa Afisa habari wake Mary Mwita Dk Pima amesema kitendo cha waandishi wa habari kurekodi kinachoendelea katika baraza la madiwani ni kuwasumbua viongozi hao,na badala yake waandishi watachukua picha na sauti kutoka katika kamera ya mwandishi wake kwa kumfuata ofisini kwake

Uamuzi huo wa pima umetolewa ikiwa imepita siku moja tokea waziri mkuu kutoa onyo kwa viongozi wa serikali na watendaji wake kuwabughudhi waandishi pale wanapofanya kazi zao
Wanaiga Bunge la jamuhuri.
 
Ila Kiukwel pm wetu anakutana na amekutana na majaribu mengi sana n muda wake wa kuonesha mamlaka yake Sasa asiwe mwoga

Waliomsumbua huyu pm wetu

Makonda ... Ishu ya nape
Sabaya ... Ishu ya mama mghwila
Mfugale ... Daraja morogoro

Ukinikumbusha issue ya Makonda na Daraja morogoro ni aibu kubwa sanaa.
 
kwan kuna nn hasa kikaoni mpaka waogope uwepo wa waandishi wa hbr? Usiwe unatetea kila kitu
Waandishi waache hadaa kazi yao ni kukata clips ili kumchafua mtu.
Halafu wana uroho wa fedha ndogo sana yaani elfu 30 tu wanaweza mchafulia mtu hatari
 
Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dk John Pima, kupitia afisa habari wake Mary Mwita, amekuwa mtu wa kwanza kuwawekea vikwazo waandishi wa habari kwa kuwazuia wasirekodi kitu chochote katika baraza la madiwani jijini humo.

Kupitia kwa Afisa habari wake Mary Mwita Dk Pima amesema kitendo cha waandishi wa habari kurekodi kinachoendelea katika baraza la madiwani ni kuwasumbua viongozi hao,na badala yake waandishi watachukua picha na sauti kutoka katika kamera ya mwandishi wake kwa kumfuata ofisini kwake

Uamuzi huo wa pima umetolewa ikiwa imepita siku moja tokea waziri mkuu kutoa onyo kwa viongozi wa serikali na watendaji wake kuwabughudhi waandishi pale wanapofanya kazi zao
Sheria inasemaje kuhusu wanahabari kurekodi matukio kwenye mabaraza ya madiwani
 
Kwani yeye ni Mkiti wa kikao cha madiwani?
Je sheria na kanuni zinasemaje kuhusu waandishi wa habari kwa wawakilishi wa wananchi.
Mkutano wa baraza la madiwani ni wa wazi, wananchi wote wanaopenda wanaruhusiwa kuhudhuria na pia unaruhusu maswali ya moja kwa moja kutoka kwa wananchi kwenda kwa MEYA. Unaweza kurushwa kwenye live TV, sasa kama vyote hivi vinaruhusiwa, unazuiaje waandishi wa habari? Ushamba na kukanyaga kanuni
 
Ila Kiukwel pm wetu anakutana na amekutana na majaribu mengi sana n muda wake wa kuonesha mamlaka yake Sasa asiwe mwoga

Waliomsumbua huyu pm wetu

Makonda ... Ishu ya nape
Sabaya ... Ishu ya mama mghwila
Mfugale ... Daraja morogoro
Wizara ya TAMISEMI irudishwe kuwa chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu. Jiwe aliiwekwa chini ya ofisi yake kwa mtazamo wake wa kuwa TAMISEMI kuna majizi sana, matokeo akashindwa kuisimamia ipasavyo hii wizara, Rais SSH ikikupendeza irudishe Wizara hii chini ya ofisi ya PM, usimamizi utakuwa makini na akili zitawakaa sawa hawa Wakurugenzi
 
Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dk John Pima, kupitia afisa habari wake Mary Mwita, amekuwa mtu wa kwanza kuwawekea vikwazo waandishi wa habari kwa kuwazuia wasirekodi kitu chochote katika baraza la madiwani jijini humo.

Kupitia kwa Afisa habari wake Mary Mwita Dk Pima amesema kitendo cha waandishi wa habari kurekodi kinachoendelea katika baraza la madiwani ni kuwasumbua viongozi hao,na badala yake waandishi watachukua picha na sauti kutoka katika kamera ya mwandishi wake kwa kumfuata ofisini kwake

Uamuzi huo wa pima umetolewa ikiwa imepita siku moja tokea waziri mkuu kutoa onyo kwa viongozi wa serikali na watendaji wake kuwabughudhi waandishi pale wanapofanya kazi zao
Sasa huyo mary mwita yeye mwenyewe ni mwandishi wa habari,marehemu mumewe alikuwa mwandishi wa habari,tena wote waneishi hapo arusha,inakuwahe hanshauri vizuri pima
 
Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dk John Pima, kupitia afisa habari wake Mary Mwita, amekuwa mtu wa kwanza kuwawekea vikwazo waandishi wa habari kwa kuwazuia wasirekodi kitu chochote katika baraza la madiwani jijini humo.

Kupitia kwa Afisa habari wake Mary Mwita Dk Pima amesema kitendo cha waandishi wa habari kurekodi kinachoendelea katika baraza la madiwani ni kuwasumbua viongozi hao,na badala yake waandishi watachukua picha na sauti kutoka katika kamera ya mwandishi wake kwa kumfuata ofisini kwake.

Uamuzi huo wa Pima umetolewa ikiwa imepita siku moja tokea Waziri Mkuu kutoa onyo kwa viongozi wa Serikali na watendaji wake kuwabughudhi waandishi pale wanapofanya kazi zao.
Anaficha nini? bungeni waandishi wapo mbona wabunge hawapati usumbufu
 
Na wao waandishi wasusie kuandika habari zake,tatizo liko wapi?
Mbona hata Bunge lilikatazwa kuonyeshwa Cha ajabu ni kipi?
 
Huyo mkurugenzi anaficha makando kando mengi sana,kiufupi mlolokole feki.
Kuna rafiki yangu analalamika kukosa kupangishiwa vibanda vya biashara,amehodhi vibanda vingi kupitia jamaa zake.
Kuna hela za michezo toka mashuleni,mwaka jana ile corona michezo haikuchezwa walizikusanya wakapiga na maafisa wake.
 
Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dk John Pima, kupitia afisa habari wake Mary Mwita, amekuwa mtu wa kwanza kuwawekea vikwazo waandishi wa habari kwa kuwazuia wasirekodi kitu chochote katika baraza la madiwani jijini humo.

Kupitia kwa Afisa habari wake Mary Mwita Dk Pima amesema kitendo cha waandishi wa habari kurekodi kinachoendelea katika baraza la madiwani ni kuwasumbua viongozi hao,na badala yake waandishi watachukua picha na sauti kutoka katika kamera ya mwandishi wake kwa kumfuata ofisini kwake.

Uamuzi huo wa Pima umetolewa ikiwa imepita siku moja tokea Waziri Mkuu kutoa onyo kwa viongozi wa Serikali na watendaji wake kuwabughudhi waandishi pale wanapofanya kazi zao.
Niice
 
Back
Top Bottom