Vladimirr JF-Expert Member Apr 2, 2015 546 565 Dec 7, 2015 #1 HAYA HAYA KAZI YA MAGUFULI YAANZA RASMI Ni katika kikao kilichowahusisha wafanyakazi wa sekta binafsi nchini. Mkurungenzi na mmiliki wa IPP media, ndugu Reginald Mengi alishikwa mkono na mheshimiwa rais Magufuli kuonesha kufurahi uwepo wake mahali pale ha ha ha jokes
HAYA HAYA KAZI YA MAGUFULI YAANZA RASMI Ni katika kikao kilichowahusisha wafanyakazi wa sekta binafsi nchini. Mkurungenzi na mmiliki wa IPP media, ndugu Reginald Mengi alishikwa mkono na mheshimiwa rais Magufuli kuonesha kufurahi uwepo wake mahali pale ha ha ha jokes
E eddy JF-Expert Member Dec 26, 2007 15,037 9,953 Dec 7, 2015 #2 Hiki kijamaa kinafiki sana nilikiona kinamnong'oneza jambo nikatamani niingie ndani ya TV nikakizabe kibao.
Hiki kijamaa kinafiki sana nilikiona kinamnong'oneza jambo nikatamani niingie ndani ya TV nikakizabe kibao.
M Mokoyo JF-Expert Member Mar 2, 2010 15,145 5,553 Dec 7, 2015 #3 eddy said: Hiki kijamaa kinafiki sana nilikiona kinamnong'oneza jambo nikatamani niingie ndani ya TV nikakizabe kibao. Click to expand... Hebu fafanua
eddy said: Hiki kijamaa kinafiki sana nilikiona kinamnong'oneza jambo nikatamani niingie ndani ya TV nikakizabe kibao. Click to expand... Hebu fafanua
S sily JF-Expert Member Feb 20, 2013 926 577 Dec 7, 2015 #5 nifah said: Hahahahaaa Click to expand... Teh teh wewe ni shida..