Mkurugenzi wa IPP Media Reginald Mengi ashikwa...

Vladimirr

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
546
565
HAYA HAYA KAZI YA MAGUFULI YAANZA RASMI

Ni katika kikao kilichowahusisha wafanyakazi wa sekta binafsi nchini.

Mkurungenzi na mmiliki wa IPP media, ndugu Reginald Mengi alishikwa mkono na mheshimiwa rais Magufuli kuonesha kufurahi uwepo wake mahali pale

ha ha ha
jokes
 
Hiki kijamaa kinafiki sana nilikiona kinamnong'oneza jambo nikatamani niingie ndani ya TV nikakizabe kibao.
 
Back
Top Bottom