Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Magu tupe ufafanuzi wa hii barua kwa kuwa imekutaja

Enzi na Enzi

JF-Expert Member
May 29, 2020
888
821
Serikali imesema masaa mawili ya ziada hayana tija tena baada ya utafiti.

Mbona baadhi ya shule bado wanachangisha?

Nawasilisha tafadhari

20200702_171940.jpg
☝️
 
Huyo Ajifute Kazi Haraka
Hiyo Michango Ni Uchochezi
Anataka Kuichonganisha Serikali Na Wananchi
Hivi Hakuna OCD Ampige Pingu Huyo
 
Huyo Ajifute Kazi Haraka
Hiyo Michango Ni Uchochezi
Anataka Kuichonganisha Serikali Na Wananchi
Hivi Hakuna OCD Ampige Pingu Huyo

Mimi nashauri atoe barua au tangazo la kusitisha michango hii badala ya kukaa kimya.
Huu ndio ukweli na ukweli utabaki kuwa ukweli.

Kama aliagiza michango kwa barua basi asitishe kwa barua.
Sio kukaa kimya.
 
Mimi nashauri atoe barua au tangazo la kusitisha michango hii badala ya kukaa kimya.
Huu ndio ukweli na ukweli utabaki kuwa ukweli.

Kama aliagiza michango kwa barua basi asitishe kwa barua.
Sio kukaa kimya.
Barua itakuwa ivi.. Samahani bandugu nilieleweka vibaya ivo nawaombeni msamaha hakuna mchango Bandugu
 
Mkurugenzi Kama aliagiza kuwepo mkakati wa wanafunzi kupata Chakula shuleni Hana kosa shida Ni maamuzi ya WDC....

Tangu serikali ya Magufuli kuingia madarakani si rahisi kwa WDC kufanya maamuzi ya namna hiyo kwani agenda ya Chakula shuleni ilipaswa iwe maamuzi na hitaji la wazazi wenyewe.

Agenda ilipaswa kupelekwa kwa wazazi wenyewe
 
Ndio maana tukamuomba ufafanuzi mkurugenzi! Maana WDC ilikuwa ikitekeleza agizo la mkurugenzi.

Tatizo la baadhi ya wakurugenzi hawamsaidii mh Rais.

Hii nikama ya mkurugenzi wa wilaya ya Kirosa mkoani morogoro badara ya kumsaidia rais yy ndo anampa kazi mh rais.

Mambo ya chakula cha wanafunzi ni wazazi lakini kuna baadhi ya vijiji wazazi wanawekwa mpaka roc- up ya kijiji kwa sababu ya michango.

Na vijiji hivi vipo wilaya ya magu! Nawatendaji wte hawa wapo chini ya mkurugenzi.

Mkurugenzi atupe ufafanuzi otherwise tuombe ufafanuzi kwa DC wake wa magu!

Tusipopata majibu tuombe kwa RC.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom