Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero angalia maslahi ya wananchi

mpandaone

JF-Expert Member
Mar 7, 2017
478
255
Mimi mwananchi wa kawaida wa Mpanga Mrimba Halmashauri ya wilaya ya Kilombero.

Kero yangu juu ya huyu Mkurugenzi wa Halmashauri ni kikao chama diwani kilipiga kura kwa pamoja kiliamua Makao Makuu ya Halmashauri yatahamia Mngeta ambayo yatakuwa katikati kwa sisi wananchi tunaotoka mbali.

Yeye kwa kuangalia biashara zake zilipo Ifakara mjini analazimisha makao makuu yajengwe Tosamaganga Kilometa 10 kutoka Ifakara mjini ambapo kuna mamlaka ya mjimdogo,

Kumbuka madiwani waliamua kwa kupiga kura kwa kuangalia maslahi ya wananchi nakusogeza huduma kwa jamii tunakuomba mkurugenzi acha ubinafsi angalia maslahi ya wananchi
 
Hamnaga kitu kamaa hcho ndgu..usipendee kuletaa tuhumaa humu bilaa ushahidi..hivi unajuaa madiwan wana nguvu kiasi gani kwenyee halmashauri..maduwani ndo wenye halmashauri na mkurugenzi ni ntendaji ambaye anawezaa kupitaa..ko mkurugenz hawez toaa maanuz yanayihusu halmashauri bila kikao kuridhiaa
 
Back
Top Bottom